Chuo Kikuu Mzumbe kilianzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge na.7 ya mwaka 2005, kikiwa kimerithi zaidi ya miaka 50 ya kufundisha wataalamu wa kada za Sheria, Utawala, Usimamizi wa Biashara...
polen na majukumu wana JF, Mwenzenu nimeomba nafasi ya kujiunga na vyuo vya afya kozi ya HEALTH COMMUNITY toka mwenzi August 2015, maajabu yake selection za kwanza nikakosa. Leo tena wametoa...
Wadau mliochaguliwa mzumbe university mbeya campus Na mliokwisha maliza usajili je mpaka kumaliza process zote umegharamika Tsh.ngapi? Ukichanganya Na ada Yao uliyotoa mpaka kukupokea? Nataka...
nili apply HEALTH COMMUNITY kupitia NACTE leo ndo wamenipa majibu nimechaguliwa st JOHN COLLEGE OF HEALTH _ MBEYA sasa nimewapigia chuon wananiambia nafas walizopewa na NACTE zimejaa, nimewapigia...
Maana Bodi Wanataka Kutuweka Cc Kama Bench Wanatumia Hela Zote Kweny Campaign Kumpitisha Rais John Pombe Maguful Hk Akiahd Anaumia Kuona Wanafnz Wanakosa Mkopo, Kwa Kuwa Ameapshwa Ni Je , Hyo Ahad...
Naombeni utaratibu nifanyeje,ninahitaji joining instructions ya Mbalizi Health institute.Ajabu baada ya kuwapigia simu aliyepokea kanijibu nimtumie kwanza sh.20000.Baada ya kumtumia hiyo pesa...
Naona wakuu nivizuri tuache uchanganyaji wa mafaili; kama ni jukwaa la Elimu, tuweke mambo yanayo husiana na Elimu n.k, siyo Elimu unaweka siasa,mapenzi wakati kuna majukwaa yanayo husiana nahayo...
Salaam wana jukwaa,napenda kufahamu ni lini mtu anaweza kuanza ku apply chuo kikuu hasa kwa wale ambao wamemaliza form six miaka ya 2000?
Asanteni na karibuni kwa msaada huo...
Salaam ndugu zangu.
Nina ndugu yangu alimaliza O-level mwaka Jana ila kwa bahati mbaya ha kufanya vizuri kuweza kuendelea advance.
Mimi sikuwepo ila nmerud nimeambiwa alikuwa anafanya mipango...
Hi! watanzania wa miaka 54 ya Uhuru.Juzi BARAZA la mitihani lilitangaza matokeo ya Drs la VII tena kwa Mbwembwe sn, na kutanabaish kuw ufaul umeongezek. Bnafs baad ya kuptia baadh ya matokeo hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.