UDOM wamesogeza kufungua chuo hadi Nov. 14

Nyadunga

Senior Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
107
Reaction score
64
Udom wamesogeza Mbele kufungua chuo. hadi tarh 14.
source:udom website
 
vipi vyuo vingine?

hiki ndio kinaongoza kwa kuendeshwa l]kisiasa kuliko vyuo vyote...
Vingine vitatengenezewa mazingira (hasa vya Umma) kuwalazimu kusogeza mbele tarehe zao za Kufungua
 
Sababu zilizo nje ya uwezo wao. Kuna mambo yanawekwa sawa
 
eeeeeh mungu umesikiliza maombi yangu bora daah maana
 
Ni jambo jema kwani wanafunzi, walimu na wafanyakazi wengine wanaandaliwa mazingira ili waweze kufurahia utumishi na uanafunzi wao wawapo UDOM. Hongera serikali kwa kusikia kilio cha wana UDOM.
 
tunaogopa tunajua kwamba wanafunzi ni ukawa wanaweza kuvamia bunge
 
THANKS GOD KWA HILI

Furaha na amani kwangu na kwa wengine kwani Mungu amesikia kilio chetu na ninahisi kabisa kusogeza mbele muda wa kuripoti nafikiri ni kuipa nafasi board ifanye yake,Mungu saidia tupate fedha tukasome kwa amani na utulivu.
 
Nafikiri serikali iangalie upya ratiba ya vyuo ili ifike kipindi mwaka wa masomo uanze january.
 
kama kichwa cha habari kinavyosema
 
Attachments

  • 1446124377692.jpg
    1446124377692.jpg
    32.3 KB · Views: 226
TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

KUBADILISHWA KWA TAREHE YA KURIPOTI CHUONI

Chuo Kikuu cha Dodoma kinasikitika kuwatangazia Wanafunzi wote kuwa, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa Chuo tarehe za kufungua Chuo zimebadilishwa.

? Kwa wanafuzi wapya, Chuo kitafunguliwa tarehe 14 Novemba 2015 badala ya tarehe 31 Oktoba 2015

? Kwa Wanafunzi wanaondelea, Chuo kitafunguliwa tarehe 21 Novemba 2015 badala ya tarehe 7 Novemba 2015 iliyokuwa imetangazwa awali.

Wanafunzi wote mnatakiwa kukamilisha malipo ya ada na malipo mengine kabla ya kuripoti Chuoni. Wanafunzi watakaoshindwa kukamilisha malipo hayo hawatapokelewa Chuoni.

Tunasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza

Imetolewa na Ofisi ya Mahusiano

29 Oktoba 2015

Kupitia Wizara Ya HABARI.
 
Aisee wengne tulikuta tumeshakata na tiket kabisa
 
Tarehe 14

Shukran ni Tarehe 16 kwa mujibu wa Tangazo la kwenye web ya chuo

TAARIFA MUHIMU KWA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
KUBADILISHWA KWA TAREHE YA KURIPOTI CHUONI

Chuo Kikuu cha Dodoma kinasikitika kuwatangazia Wanafunzi wote kuwa, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa Chuo tarehe za kufungua Chuo zimebadilishwa.

? Kwa wanafuzi wapya, Chuo kitafunguliwa tarehe 14 Novemba 2015 badala ya tarehe 31 Oktoba 2015
? Kwa Wanafunzi wanaondelea, Chuo kitafunguliwa tarehe 21 Novemba 2015 badala ya tarehe 7 Novemba 2015 iliyokuwa imetangazwa awali.
? Mitihani ya marudio (Suplimentary Examinations) itafanyika kuanzia tarehe 16 hadi 20 Novemba 2015.

Back
Top Bottom