Michael Chaina
Member
- Oct 20, 2015
- 26
- 1
Angalien Profile Zenu Za Nacte Mtakuta Kipengele Cha Kuhama Chuo Na Courze Na Bahati Nzuri Ukichagua Courze Kama Haupo Legible Wanakwambia Hapo Hapo Changamka Aisee

Tatizo ukihama chuo lazma uhame na kozi. Hii ndo imenilemea. Nltaka kuhama chuo kozi cbadilishi. Sasa wao mpka ubadili na kozi. Hii haijakaa poa ase