Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

mtasubiri sana kwanza madeni lazima yalipwe afu suburia uone thamani ya dola na bei ya bidhaa baada ya mwezi tupo hapa
 
Hiyo pesa ataipata wapi kwanza? Tegemea migomo isiyoisha kwenye vyuo.
 
Bodi ya Mikopo na Tanesco hawa ndo wa kuanza nao.
Wamekuwa kero kwa raia wanacheza kazi badala ya mshahala
 
Habari wanajamii, umepata chuo ila issue imekua mkopo na watu wengi hawajaripoti chuo mpaka sasa ingawa trh imepita tayari, ntapata chuo au ndo nimeshakosa nafasi maana nautegemea mkopo!!
 
Habari wanajamii, umepata chuo ila issue imekua mkopo na watu wengi hawajaripoti chuo mpaka sasa ingawa trh imepita tayari, ntapata chuo au ndo nimeshakosa nafasi maana nautegemea mkopo!!

hujaeleweka mkuu mana hujasimama katika hoja.
 
Habari wanajamii, umepata chuo ila issue imekua mkopo na watu wengi hawajaripoti chuo mpaka sasa ingawa trh imepita tayari, ntapata chuo au ndo nimeshakosa nafasi maana nautegemea mkopo!!

kichwa cha habari kinahusiana na yaliyomo,ila yaliyomo yenyewe kwa yenyewe hayahusiani.
 
Watakuwa wameamua wenyew hata wakikosa ni sawa tuu maana walipewa nafasi ya kusoma bure
 
Umeona mkuu sasa hivi bei ya chips ishapanda, chips kavu 1500,chips mayai 2500......
ngoja wote tuisome number tu potelea mbali akili zitatuingia tu si tunajifanya vipofu ili hali macho tunayo!!!!! we subiri yani sitatoa Tsh.100 yangu kumpa mtoto wa mtaani,sijui kumsaidia mgonjwa sijui nini yani wote tuumie tu hadi akili zitatukaa. ila sehemu ambazo ukawa wameshika wapige kazi kwa uaminifu kabisa waminye wizi wote afu tuone
 
Back
Top Bottom