Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wadau wa JamiiForum, Napenda kuleta mada hii ili iwe masaada kwangu na kwa wengine watakaokuwa na tatizo kama langu, Mimi ni mmoja ya vijana walio apply kujiunga na chuo kwa mwaka huu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi Mimi ni mtoto wa masikini nimechaguliwa institute of adult education na nimeshasajiriwa nataka nifanye transfer nihamie udom ili niweze kupunguza gharama za kupanga mtaani naombeni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wapendwa mimi ni miongon mwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ambao nimepatwa na majanga ya kukosa mkopo katika lots zote, bt niliamua kwenda hadi hesib kujua tatizo ni nini, jambo la kushangaza...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
MAAJABU MENGINE YA NAIBU WAZIRI WA ELIMU,MH MULUGO Akiwa katika ziara ya kutembelea chuo cha ualimu Tukuyu. Wakufunzi walimuuliza swali kwanini hawapandishwi madaraja kwa muda mrefu. Mmoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi Mimi ni miongoni mwa wahangwa ambao mwanzoni tulichaguliwa udsm kupitia Nacte lakini udsm walitutema kulingana na ufauru wetu wa kidato cha NNE ns kurudisha majina yeti nacte...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
juhudi za Mwalimu Nyerere zilikuwa ni kuhakikisha watanzania wote wanajua kusoma na kuandika, nimesoma hobuta yake ya Elimu Haina Mwisho " education never end" ya mwaka 1969. 12. 31, nilliona...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
juhudi za Mwalimu Nyerere kilikuwa ni kuhakikisha watanzania wote wanajua kusoma na kuandika, nimesoma hobuta yake ya Elimu Haina Mwisho ya mwaka 1969. 12. 31, nilliona neno " matokeo makubwa" na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Elimu Tanzania mwelekeo....
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Ni mwalimu alitoroka kazini a kaenda masomoni mwaka huu, ila sasa afisa elimu kashapelekewa taarifa na wanafiki kuwa Mwl. Juma katoroka kazini, afsa elimu kamwandikia barua mwl. Juma ya kurudi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa. Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. 1. Pasiansi ( mwanza ) 2. ( IAA ) Institute of Accountancy Arusha 3. ( CBE )College of Business Education nahitaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wana jf najitokeza kuuliza kwe yeyote mwenye taarifa ama tetesi za lini ajira za ualimu kwa ngazi zote zitatoka lini anijuze maana huku mtaani maisha yanakaba mpaka bhasi... ni hayo tu ndg zangun...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mchango wako ndg, napata shida kidogo juu ya chaguzi sahihi ya reseach tittle ambayo itanipa mwanga ama uwanja mpana wa kufunguka naomba kushare na wewe, kifup nafanya field TRA nahitaj reseach...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
habari wana jamvi, kwa ambaye anajua shule zifundishazo french jiji la mwanza naomba anijuze , p'se Asante.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa anaesoma Bachelor of Arts in Public Administration mwaka wa kwanza. Ani PM kwa ajiri ya discussion. Nimeshapata mmoja
0 Reactions
0 Replies
991 Views
za kwenu wapendwa. jamani natafuta mtu anaesoma population and development. mie niko first year open university. sasa material ndo taaabu kwelikweli. masomo mengine hata course outline hakuna...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Focus On: Understanding Climate Changes The climate is changing faster than our efforts to address it. The alarms bells keep ringing. No nation is immune. Worldwide, this summer was the hottest...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Kuna taarifa kuwa posho ya usimamizi was mtihani wa darasa la nne wa taifa zimetofautiana kati ya wilaya na wilaya mfano wilaya Fulani wamepata sh 170000,wengine 60000 wilaya nyingine 43000...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wadau wa elimu, hasa waliokuwepo kazini miaka mingi, wanatetea na usimamizi wa elimu uliokuwa chini ya Katibu Mkuu. Kadiri ya hoja zao, zama hizo hakukuwa na ufisadi na wizi mkubwa kama wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa walimu walioajiriwa mwaka huu 2015 mwezi wa tano, ivi Loan Board wanaanza kutukata lini pesa?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom