wapendwa habari za kazi, kuna mtoto wangu alienda kusoma kozi hii mpya ya community health mwaka(1) mbeya,
sasa kufika huko chuo hakina hata syllabus, sasa mtoto anakuwa anashindwa jinsi ya...
habari wana jamii naomba ushauri yumsaidie vipi huyu Mwl Wa kike .ameajiriwa tangu mwaka 2011 sekondari ni mwalimu Wa maths na physics aliomba nafasi ya kwenda kusoma akachaguliwa kujiunga na chuo...
Hii ni facult inayocover masomo yote ya Sayansi au ni somo moja la sayansi tu??!! Msaada please ninataka niapply Open university ....this year .. na vp ajira yake???
Naomba kujulishwa kama kuna wanachuo walio hitimu kidato cha 6 miaka 3 iliyopita waliopata mikopo?maana mimi nilimtuma mtu akaambiwa kuwa waliohitimu kidato cha 6,miaka 3 ya nyuma hawakupewa...
Mpaka ninavyoandika huu uzi, hapa UDOM education hakuna aliyeoga wala kujisaidia, kama kuna mtu basi hajaflashi, na hii ni kawaida sana hapa UDOM mtu kutoflash, si wanawake si wanaume wote...
There is one chancellor Bismarck sayed that "the great quiz of today can not be solved through negotiation and resolution of The majorities but is through blood and irony"
Quiz to you my fellow...
Pata kitabu kitakachokupa maarifa yoote unayohitaji kama mjasiriamali katika ulimwengu wa sasa hapa Tanzania.
Jifunze njia mbalimbali na aina tofauti za biashara ambazo unaweza kufungua. KWA...
Habarin wana jamvi,
Kwa wale walimu wa ajira mpya walioajiriwa mwez may 2015 kuna baadhi take home yao imepungua je ni heslb wameanza kuchukua chao au ndo serikal imeanza kubana matumizi.
Mim ni mjasiriamali mtandaoni....
Nina shida na vijana wawili wa haraka kwa ajili ya kufanya kazi katika blog zangu sana sana wanafunzi au mtu kama huna mambo mengi unaruhusiwa ila...
Kiukweli mimi nimesononeshwa sana na hili
shirika kwanza kabisa nashindwa kuelewa
wanatuchukuliaje sisi watumishi wa chini
kabisa.Kuna kipindi huwa nafikia hatua ya
kuwachukulia kama wezi wa...
Mimi nataka kufa jamani nina miaka mitatu sasa nakosa boom, nahisi bora ningezaliwa nyani ulaya kuliko kuwa mtu Tanzania lnchi iliyojaa undugunization na rushwa hasa samaki wakubwa kama...
mdogo wangu kachaguliwa ordinary diploma in education chuo cha serikali,,sasa anataka aaamie chuo cha private cha ualimu,je kuna umuhimu wa kufanya uhamisho kutoka serikalin kwenda private??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.