Utoshelezaji wa walimu wa masomo ya sanaa

Utoshelezaji wa walimu wa masomo ya sanaa

Asgar

Member
Joined
Oct 19, 2014
Posts
23
Reaction score
6
Embu wana-jf naomba tujenge hoja,hivi ni kweli walimu wa masomo ya sanaa wanatosheleza kwa sasa kiasi cha kutoajiri walimu hao?? Mashaka yanakuja uko maeneo ya vijijini ambapo tunaambiwa unaweza kukuta shule ina walimu wa5, je hao wote ndo huwa wa sanaa au vp?? Embu tujuzane ukweli ni upi wanaposema walimu wa sanaa wametosheleza (in reference to rural areas)
 
Back
Top Bottom