Nikisomea Kilimo nitatoka kwa maisha ya sasa?

Nikisomea Kilimo nitatoka kwa maisha ya sasa?

mafrey

Senior Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
107
Reaction score
11
Habari zenu mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita HGK naweza kuchukua agriculture niendapo chuo na je bado agriculture inasoko nchini
 
Mmh kwani tatzo nini mpaka inashindikana
 
Habari zenu mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita HGK naweza kuchukua agriculture niendapo chuo na je bado agriculture inasoko nchini

Kwanza unavijua hvyo vyuo vya agriculture?? Na unataka kusoma degree o diploma?
 
Nataka nisomee degree thn nakijua cha sokoine Morogoro
 
Nataka nisomee degree thn nakijua cha sokoine Morogoro

Vyuo vinavyotoa degree ya agriculture ni sua, st Joseph dsm, na udsm qameanza diz yr
Lakn kwa ww kupata hyo faculty na hujasoma hata biology na chemistry duuuh itakuwa ni kali zaidiii kutokea
 
Bac ntaanza na diploma coz napenda kusomea thn o-lvl nilsoma sayansi c itasaidia
 
ninamarafiki weng wanaosoma agriculture but,wote advance walisoma science hasa cbg so kwa hgk sina uhakika kwa kweli labda utumie chet cha o'level najua ulisoma science so uanze na diploma then degree ila kufanya aplication moja kwa moja kupitia hgk itakuwa ngumu kidogo my brother
 
Habari zenu mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita HGK naweza kuchukua agriculture niendapo chuo na je bado agriculture inasoko nchini

Agriculture huwa inataka watu wawe na Biology na Chemistry. Kwa SUA huwezi kuwa admitted labda kama unataka usomee Rural Development au Tourism (SUA) unaweza kuwa admitted lakini siyo kilimo.
 
Habari zenu mimi ni mwanafunzi wa kidato cha sita HGK naweza kuchukua agriculture niendapo chuo na je bado agriculture inasoko nchini

kwa diploma kama ulisoma sayansi o-level karibu chuo cha maji(wdmi) dar wanatoa agriculture engineering
 
Duhhh! Yani ndugu yangu unaanza kuulizia soko ikiwa hujui ata taratibu za kupata hiyo nafasi...! Me nikushauli kaanze kusoma cheti katika vyuo vya agriculture MATI kwa kupitia cheti chako cha O-level kwakuwa sizani km agriculture wanatoa diploma kwa mtu alietoka O-level, huwa naona wanaopata nafasi dip huwa wanatoka Advance na sio O-level
 
Hivi tofauti na agriculture faculty gan nzuri kwa comb yangu mana cjui nfanyaje na mimi mgen wa haya mambo
 
Hivi tofauti na agriculture faculty gan nzuri kwa comb yangu mana cjui nfanyaje na mimi mgen wa haya mambo

Sina ujuzi sana juu ya faculty za hiyo comb yako, ila km hukuchaguliwa chuo basi utakuwa na wakati mgumu Sana wa kufanya maamuzi sahihi, unajua ata km ulisoma art ila ukachaguliwa chuo na mungu akasaidia ukapata mkopo, hapo unakuwa umepata shavu sana, ila ukiachwa kwny selection hizi comb zenu waga ni vingumu sana kuja plan B, me naona cha kufanya we km ulifanyaga vzr O-level kwny masomo ya science, basi jaribu course hizi, nursing, animal health, agriculture, laboratory technology. ila hadi ss vyuo vingi sana vimeshafunguliwa hivo ukikosa basi jaribu mwakani
 
Thnx animal health inakuaje thn vyuo vyake ni vipi
 
Mmh kwani tatzo nini mpaka inashindikana
agriculture ni science ndugu yangu hata wakikudahili bahati mbaya sana huchomoki, ingawaje huwezi kudahiliwa labda kwa kutumia cheti cha form four uanzie nta level 4, 5, 6 ndiyo uende degree kusoma veterinary, animal science, agronomy, agriculture general, etc
 
Back
Top Bottom