Bodi ya mikopo kwa continuing students

Jalo

New Member
Nov 21, 2015
3
0
Ni vitu ambavyo vinatia hasira kwa kiasi kikubwa sana....
Cjaona umaana wa Tija ya BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU kuwa na ghorofa kubwa lamabilioni ya shilingi wakati kuna baadhi ya wanafunzi tunakufa njaa tukiwa machuoni...

Haina. Haja kuwa na jengo kubwa kama lile wakati kunabaadhi ya wanafunzi wanajiuza usiku kwa kisa tu chakukosa mkopo...

Hasa hasa kwa sisi wa continuous ambao tuna gangaika mavyuoni tukihaha kwa kukosa thamani yakupata japo kiasi kidogo tukaendelea na masomo
Nimambo ambayo yanauzi na yanakera sana na yanaumiza sana...
Nawaasa wanafunzi wenzangu ambao mnaendelea na hatujui hatma yetu tukutane tufanye maandamano ya Amani kuishinikiza bodi kutupa haki yetu kwa maana navyojua mkopo ni national cakr ambayo kila mwanafunzi mwenye mazingira magumu anatakiwa kuwa nao

Please Wanafunzi wenzangu wa vyuo vyote Tanzania wenye maisha magumu kama mimi Ambaye BABA SINA NA MAMA SINA NA WENYE VIGEZO TUGANYE MAANDAMANO YA TANZANIA NZIMA

Mungu wabriki wanafunzi wote waishio kwenye Mazingira. Magumu na wenye ndoto za kuacha chuo kwaajili ya kukosa ada kama miye....
 
Kuna ubaguzi mkubwa wa utoaji mikopo kwa wanafunzi wa continue ambapo bodi inatoa mikopo kwa upendeleo na kujuana kwa kuwaacha wanafunzi ambao ni yatima (orphan) ,walemavu na wanaosoma priority kozi....kwa uchunguzi niliofanya kwa chuoni kwangu nimegundua wanafunzi asilima 50+ ya continue waliopewa mkopo kwa sasa hivi ni watu wanaosoma kozi ambazo si za priority na hawana vigezo vyovyote vinavyowafanya wapewe mkopo, huku kukiwa na wanafunzi wengi wanaosoma kozi za priority, yatima na walemavu wakikosa mkopo, kwa sasa ni vyema bodi ikafanyiwa uchunguzi.na hii sio kwa chuo changu tuu maana hata nilivyojarbu kuwauliza wanafunzi wa vyuo vingne pale bodi nilipata majibu haya haya, .ni vyema mheshimiwa magufuli au waziri mkuu au katibu mkuu kiongozi akaangalie jipu Hili pale bodi.Na pale bodi ya mikopo mkurugenzi wao uwa hataki hata wanafunzi wamfikie ili watoe kero zao kama agizo la mheshimiwa linavyosema watendaji wa serikali wasikilize kero za wanaowahudumia sio kukaa tu ofisi na kula mshahara pia kwa masikio yangu nimemsikia mkurugenzi mkuu wa bodi ataki hata kuwaona wanafunzi wakfika kuongea na maoficer wa bodi ili wajue hatma yao yeye anataka waishie kwa customer care na walinzi watu ambao hata hawawezi kukusaidia..bodii ya mikopo ni jipu kubwa sanaaa litumbuliwe ili kuokoa wanafunzi maskini wa kitanzania.
 
Back
Top Bottom