Wandugu habarini,
Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A
Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo
Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A
Sasa changamoto...
Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika...
Naamini wengi wa wana JF mtakua mko aware na mambo mengi nitakayoyaongelea hapa kwa kuwa mmeyaexperience huko mashuleni mliposoma. Cha kushangaza ni kwamba hakuna mtu anaetaka kuyaongelea - si...
Baada ya kuisoma hii article ya Bw. Mwalupindi jana kwenye gazeti moja la kila siku nilianza kukumbuka enzi zangu nilipokua mlimani na nilikua na swali moja tu-"how did i survive?". Test za...
A brightday suddenly turn to to darkness
The once wide open eyes, are full of tears
The peaceful hearts, Conquered by fear
Horror, cry and blood every where
You choose to take...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 14 Septemba, 2024...
Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango...
Habari wana JF nimepokea malalamiko kutoka kwa mwanafunzi X wa diploma in engineering under government sponsorship.
Awali kama serikali ilivopendekeza kufutwa kwa Tuition fee kwa wanafunzi hao wa...
Habari wanajamii forum.
Ningependa kuuliza kuhusu Namba ya Uthibitisho wa Diploma ya NECTA (Award Verification Number). Nina Diploma kutoka NIT na ninataka kuendelea na masomo ya ngazi ya juu...
Jamani wakuu mimi ni mhitimu wa diploma nahitaji kuendelea kusoma bachelor lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET.
Tangu mwezi wa 7 nimelipia sh 15,000/= ili kupata lakini mpaka...
Tuliopangwa Kanembwa na yeyote mwenye uelewa wa JKT Kanembwa Kigoma atusaidie mazingira na hali kwa ujumla ya kambi ya Kanembwa
824KJ Kanembwa.
>usibebe vitu au nguo za thamani unaweza kuibiwa...
Sisi wanufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) tuliomaliza deni na bodi tunaonewa na HESLB kwenye kipengele cha kuingia kwenye mfumo wa Account ya loan board ili kuweza kuona tathimini ya...
Taasisi ya Elimu TET au maarufu TIE, ni chombo cha serikali kilichopewa jukumu la kukuza na kuendeleza Elimu kwa upande wa UKUZAJI MITAALA na UANDAAJI WA MAUDHUI YA MITAALA.
Jambo la kusikitisha...
Haya jamani mnafikiri ni civilisation gani ni kali na ya zamani kuliko zote duniani?Kwa maoni yangu ni acient egypt na kush (Nubia, zote ni za waafrika.Mwenye mawazo zaidi?
1. No Breakfast
People who do not take breakfast are going to have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing brain degeneration.
2...
Mbunge ataka vitabu vichomwe moto
MBUNGE JIMBO LA CHWAKA
na Irene Mark na Rahel Chizoza, Dodoma
MBUNGE wa Chwaka, Yahya Kassim Issa (CCM) ameitaka serikali kuviteketeza kwa moto...