Tatizo gani nitapata nisipoenda JKT baada ya kuchaguliwa?

Uncle Elroy

JF-Expert Member
May 22, 2016
1,174
1,086
Habari wana JF ,

Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa?

Naombeni ushauri tafadhali
 
Kama umechaguliwa nenda maana watatumia kama kigezo cha priority kwa walichaguliwa kwenda na wakaenda kwenye mafunzo,na kambi za Kigoma kwa mazoezi acha!!!!!!!1
Duh vp nikienda kambi nyngne nackia hawana shda
 
Kama umechaguliwa nikushauri tuu uende Mdogo wangu. Hayo ni mafunzo kwa mujibu wa sheria, hivyo usipokwenda ni sawa na umevunja sheria.

Pia Cheti cha Jkt huwezi jua ni wapi watakuomba katika maisha yako ya utafutaji, inaongeza CV kama unampango wa kuwa mtumisha ndani ya JMT.

Cha uoga... nenda kijana.
 
Ok mkuu
 
Habari wana JF ,

Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa?

Naombeni ushauri tafadhali
Kuna neno lipo kwenye hii kitu " kwa mujibu wa sheria" hapo tayari ushainusa magereza kama wakiamua kukaza uzi.
Kwa sasa hakuna madhara mana hakuna liliyemkumba. Nenda tu kule siyo sobibo utapata vingi sana. Najua kwa muda wote huu najua huna kazi ya maana utakayofanya. I wish miaka irud nyuma niende jkt
 
Back
Top Bottom