Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

JINSI SHULE INAVYOHARIBU UBAADAE WA WATOTO WA KI-AFRIKA. Tafadhari soma hii ukiwa umekwisha graduate 🎓, Kabla hatujaendelea, naomba nikuweke sawa kwenye maneno Shule na Elimu, Elimu...
4 Reactions
3 Replies
727 Views
Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali. Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi...
1 Reactions
2 Replies
654 Views
Wakuu habari za muda,mm ni kijana ambae nilikuwa na ndoto za kuwa daktari tokea muda,maisha nikayaharakia baada ya kumaliza shule nikaoa ndoto zikapotea. Nikajicjanganya na kazi za ufundi katika...
2 Reactions
83 Replies
12K Views
Hii ni shule ya mtu binafsi ina matawi mawili Madale na Ubungo. Mmiliki wa shule hizi anatumikisha vijana bila kuwalipa anawalisha tu chakula cha wanafunzi na kuwatunza kama wanafunzi ila...
0 Reactions
0 Replies
571 Views
Samahani wadau elimu, nina mtoto anahitaji apate field sehemu yeyote last minute kwenye hata kwa wiki mbili au tati za mwisho kabla hawajatakiwa rejea chuoni. Nitashukuru kwa ushauri na hata...
2 Reactions
5 Replies
512 Views
Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua. Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini...
5 Reactions
11 Replies
841 Views
Anonymous
Habari gani wadau? Kama mnakumbuka, siku za nyuma kidogo kuna mdau alitoa dokezo kuhusu afisa elimu sekondari Kilwa kudhulumu sitahiki za walimu kama vile malipo ya likizo, malipo ya uhamisho na...
3 Reactions
4 Replies
549 Views
Anonymous
Kusitishwa kwa utekelezaji wa sera mpya kwa kidato cha tano, je athari zake ni zipi ilihali tayari tulishawapeleka watoto mashuleni? Je watanzania hasa wazazi na wanafunzi wanajua vigezo vya...
1 Reactions
1 Replies
302 Views
Naomba kuuliza nimemaliza diploma ya Clinical medicine NTA level 6 nakupata GPA ya 2.6 semister one afu 4.5 semister two, kwenda MD wana angalia GPA ya semister gan au toka first year ???
0 Reactions
10 Replies
771 Views
Wakuu nimerudi tena Habari za muda Nilifanya application za vyuo vya afya kama mlivyoniambia niliweka radiology, optometry, dentistry na physiotherapy Ila nimechaguliwa hii kozi ya dentistry...
1 Reactions
3 Replies
673 Views
Habari zenu Wakuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee Lengo la uzi huu ni kwa wale wataalamu wa Uchumi tukutane hapa na kupeana madini mbalimbali,pia kwa wale wenye maswali ya kiuchumi...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari za mda huu wakuu Hivi ukidisco chuo ukaenda chuo kingine kuna uwezekano wowote wa kuomba mkopo na ukapata???
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kumbe kuna vyuo vinazidi hata ada ya IST Tanganyika https://www.ndctz.go.tz/publications/joining-instruction
1 Reactions
6 Replies
788 Views
Ulijiskiaje? Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary. Darasani kwenye lectures, seminars, presentations, group discussions, etc.; hujawahi kukosa hata siku moja...
1 Reactions
8 Replies
605 Views
Naomba kuuliza aliyemaliza kidato cha nne mwaka 2015 na hajafikisha miaka 35 anaweza kupata mkopo ngazi ya diploma
1 Reactions
2 Replies
535 Views
Habari zenu natumai mko salama Hivi radiology na nursing bora ipi ukizingatia uwezekano wa ajira? Naombeni maoni wakubwa🙏🙏
1 Reactions
8 Replies
807 Views
Habari. Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
"The server at olas.heslb.go.tz is taking too long to respond. The site could be temporarily unavailable or too busy. Try again in a few moments. If you are unable to load any pages...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari Wana JF Naomba kupata muongozo na maoni mbalimbali. Kuna Chuo kinaitwa International University of East Africa kipo nchini Uganda kinatoa kozi mbalimbali za diploma, degree na masters na...
0 Reactions
3 Replies
928 Views
Anonymous
Kuhusiana na Suala la Mikopo UDSM
0 Reactions
2 Replies
231 Views
Back
Top Bottom