Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu, Nina ndugu yangu anataka kusoma mining engineering mwenye uelewa naomba msaada kama hii coarse pia ajira zake zinasumbua sana.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi nikweli kwamba sua inatoa kozi ya nursing?
4 Reactions
5 Replies
669 Views
Nina diploma ya record management GPA 3.1 kutoka TPSC naweza kusoma accountancy kwenye degreee
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kikomo pekee cha utambuzi wetu wa kesho kitakuwa mashaka yetu ya leo. Tusonge mbele kwa imani thabiti na utendaji. -Franklin Delano Roosevelt
5 Reactions
8 Replies
465 Views
Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima. Msaada tafadhali. Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana. Kuna walioandikiwa submitted na wengine...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Technology ni kati ya field ambazo inakua na kubadilika kila siku. Na hii imefanya watu wengi wawe interested nayo, maybe it's because of how big an impact technology has in our lives au the way...
12 Reactions
17 Replies
10K Views
Je ukisoma agriculture general unakua nani? N unafanya kazi wap? Na nikazi zipi?
2 Reactions
16 Replies
907 Views
THE APTITUDE TEST OVERVIEW (Written Aptitude Test): Mtihani wa Uwezo: Maelezo, Utaratibu wa Kujiandaa, na Angalizo Muhimu by Josephat. 1. Nini Mahana ya Mtihani wa Uwezo (Written Aptitude Test)...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Msichana kachaguliwa DIT-Bachelor in Computer Engineering na MUST-Bachelor of Technical Education in Civil Engineering. Je mnamshauri athibitishe kujiunga na chuo kipi kati ya hivyo?
0 Reactions
4 Replies
925 Views
Wadau wa elimu ushauri wenu kuhusu kozi ya kuchagua Kati ya hizo alizochaguliwa na hivyo vyuo. 1. TIA & IFM DAR ES SALAAM (ACCOUNTING) 2. CBE DAR ES SALAAM (ACCOUNTING & TAXATION) 3. JORDAN MORO...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Kichwa cha habari usika, Naomba ushauri kwa wanaoifahamu vizuri shule ya secondary ya Jitegemee au mnaweza nishauri shule nyingine kwa watoto wa kike au mchanganyiko na ada ya kawaida kwa mimi...
1 Reactions
2 Replies
710 Views
wenzangu mliochaguliwa ruaha catholic university tukutane kujadili mipango na namna ya usomaji pia miundombinu ya Chuo ikoje, :sick:
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari wana jukwaa, Nimeandaa miradi miwili ya usalama barabarani. Mmoja unahusu bodaboda na mwingine unahusu watoto walio shuleni [shule za msingi]. Inaohusu zaidi elimu ya usalama barabarani na...
2 Reactions
0 Replies
337 Views
Here is the list of 10 greatest secondary schools ever to occur in TANZANIA. This represents the all time best sec school since the death of Tanganyika. 1. MZUMBE...
5 Reactions
178 Replies
111K Views
Wakuu mko salama? Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection. Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari, Husika na mada tajwa kwenye heading. Ninahitaji hizi nyaraka Nahitaji. 1. Circular Letters 1999 - 2020 2. Public Service Act & Regulations 3. Employment & Regulations act 2004. Kwa...
3 Reactions
20 Replies
971 Views
Wandugu habarini, Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A Sasa changamoto...
1 Reactions
4 Replies
587 Views
Juzi nilipata taarifa kutoka Kwa mwalimu mwenyeji wa shule ya Kondoa girls kuwa kuwa katika shule yao wizi umekithiri sana, mwalimu yule alidai kuwa watu wasiojulikana wanaenda kuiba mbaazi katika...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom