Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naamini wengi wa wana JF mtakua mko aware na mambo mengi nitakayoyaongelea hapa kwa kuwa mmeyaexperience huko mashuleni mliposoma. Cha kushangaza ni kwamba hakuna mtu anaetaka kuyaongelea - si...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Baada ya kuisoma hii article ya Bw. Mwalupindi jana kwenye gazeti moja la kila siku nilianza kukumbuka enzi zangu nilipokua mlimani na nilikua na swali moja tu-"how did i survive?". Test za...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
A brightday suddenly turn to to darkness The once wide open eyes, are full of tears The peaceful hearts, Conquered by fear Horror, cry and blood every where You choose to take...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kuuliza ni vigezo gani vitafanya mwanafunzi achaguliwe 2ND Selection au huwa inafanyiwa Application?
2 Reactions
8 Replies
893 Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 14 Septemba, 2024...
1 Reactions
0 Replies
636 Views
Nimepangiwa CBG nauliza naweza nikasomea accounting and finance. Msaada please 🥺🥺
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Anonymous
Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango...
1 Reactions
5 Replies
609 Views
Habari wana JF nimepokea malalamiko kutoka kwa mwanafunzi X wa diploma in engineering under government sponsorship. Awali kama serikali ilivopendekeza kufutwa kwa Tuition fee kwa wanafunzi hao wa...
1 Reactions
1 Replies
533 Views
Habari wanajamii forum. Ningependa kuuliza kuhusu Namba ya Uthibitisho wa Diploma ya NECTA (Award Verification Number). Nina Diploma kutoka NIT na ninataka kuendelea na masomo ya ngazi ya juu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani wakuu mimi ni mhitimu wa diploma nahitaji kuendelea kusoma bachelor lakini siwezi kuendelea bila kupata AVN kutoka NACTEVET. Tangu mwezi wa 7 nimelipia sh 15,000/= ili kupata lakini mpaka...
0 Reactions
6 Replies
623 Views
Tuliopangwa Kanembwa na yeyote mwenye uelewa wa JKT Kanembwa Kigoma atusaidie mazingira na hali kwa ujumla ya kambi ya Kanembwa 824KJ Kanembwa. >usibebe vitu au nguo za thamani unaweza kuibiwa...
0 Reactions
121 Replies
15K Views
Habari wana JF , Kuna tatizo gani endapo mtu hatakwenda JKT kwa mujibu wa sheria baada ya kuchaguliwa? Naombeni ushauri tafadhali
0 Reactions
133 Replies
16K Views
Anonymous
Sisi wanufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) tuliomaliza deni na bodi tunaonewa na HESLB kwenye kipengele cha kuingia kwenye mfumo wa Account ya loan board ili kuweza kuona tathimini ya...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Taasisi ya Elimu TET au maarufu TIE, ni chombo cha serikali kilichopewa jukumu la kukuza na kuendeleza Elimu kwa upande wa UKUZAJI MITAALA na UANDAAJI WA MAUDHUI YA MITAALA. Jambo la kusikitisha...
1 Reactions
3 Replies
488 Views
Haya jamani mnafikiri ni civilisation gani ni kali na ya zamani kuliko zote duniani?Kwa maoni yangu ni acient egypt na kush (Nubia, zote ni za waafrika.Mwenye mawazo zaidi?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
1. No Breakfast People who do not take breakfast are going to have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing brain degeneration. 2...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Mbunge ataka vitabu vichomwe moto MBUNGE JIMBO LA CHWAKA na Irene Mark na Rahel Chizoza, Dodoma MBUNGE wa Chwaka, Yahya Kassim Issa (CCM) ameitaka serikali kuviteketeza kwa moto...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Hii ni nyumba anamoishi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Lihumbe iliyopo kata ya Mbagamao, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, Bw. Osmundi Nombo na mwalimu mwenzake. (Picha na Grace Michael). Pamoja...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Problem Solving Skills One of the most exciting aspects of life is the array of choices that we have on a daily basis. Some of our decisions are simple, like deciding what to eat for dinner or...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom