Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

JAMANI WATANZANIA WENZANGU NAJUA WENYE UPEO MDOGO HUZANI HIKI CHUO KIONATESA WANAFUNZI ILA NIMEFANYA UCHUNGUZI NA KUBAINI YAFUATAYO KATIKA CHUO HIKI -NI CHUO NAMBA MOJA TANZANIA AMBACHO WANAFUNZI...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Mimi najiuliza kitu kimoja na sipati majibu. Hivi inakuwaje Mkuu wa shule anakataa kumsainia mwalimu barua? Mbona watu wanaongeza migogoro baada ya kuipunguza? Kweli JPM kazi unayo. Nakubali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana Taaluma humu ndani Nina jambo naomba nanyi mnipe ushauri wa kumsaidia mdogo wangu. Nina mdogo wangu wa kiume ambaye kamaliza kidato cha sita katika haya matokeo yaliyotoka hivi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jamani wale tuliochaguliwa na kujiunga na masters tajwa hapo juu ningependa tufahamiane hata kwa PM ili tuweze jua tunajipanga vipi kimashambulizi ya feb 4. Waelewa wataelewa tu.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wana jamvi msaada.eti kati ya vyuo viwili hivyo ,kipi kizuri kwa kutoa BAF niweke chaguo la kwanza?
0 Reactions
44 Replies
14K Views
Help, hv nitafaham vp kama nlpata mkopo wkt passwd, transaction ID na suggstn quiz vyote nmevsahau maan nlkuw admtted duce 2015/2016 ila ckwnda ktkna na mattz flan flan na ckuw na acces yoyt ya...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
Msaada plz, Hivi ukishamaliza kujaza vyuo kuna sehemu ya kukonfirm au ndo umemaliza?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nmesahau password za kulogg in macte ili niangalie nmepata chuo na course apply sasa nmeingia kqenye forgot pasword nkaandika ile email nliojiungia wananiandikia""""""" type Status report message...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika pitapita yanhu leo nimeona baadhi ya taarifa ya chuo kikuu cha Bukoba ambacho kipo Mkoani Bukoba, Ila la Kushangaza ukienda kwenye tume ya vyuo vikuu Tanzania hakuna Chuo Kama hicho wala...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Mimi nimemaliza form six(6) Mwaka Jana 2015 lakini nikitaka kuaply chuo system ya TCU inanikataa naumia sanaa. Inaandika ""prior admission found"" Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Jamani nimeongea na hawa TCU wameniambia kwamba kwa wale wote walio fanya paper kama Private Candidate 2014 suala lao linashughulikiwa na by Ijumaa litakua tayari ndo maana kwenye ku add O-level...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani naomba kusaidiwa,kuna mdogo wangu alituma maombi ya afya na elimu ya msingi kwa upande wa afya hajachaguliwa kulingana na ushindani uliokuwepo lakini kwa upande wa elimu profile yake...
0 Reactions
4 Replies
980 Views
Habari wana JF, Lengo la uzi huu ni kutoa ushauri tu kwa wale wote jamaa zetu waliokosa sifa za kujiunga na shahada kupitia vigezo vilivyowekwa na TCU. Ushauri wangu ni kuwa sasa ni nafasi pekee...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne. Naombeni ushauri, nilipata division three ya 23. Nilisoma mchepuo wa sayansi na matokeo yangu ni:- Physics: D Chemistry: C Biology: C Geography: C History: C...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi tuliojaza form za kujiunga na vyuo nje ya nchi majibu yatatoka lini? Kwenye Global Education link
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka wa 2014 nikiwa na ufaulu kama ufuatao: Chemistry:B Biology---:B English----:B Mathematics: C History----: D Geography: C Kiswahili--:C Civics: D Wanajf mkiwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Inasikitisha mpaka sasa hivi watu tuliomaliza diploma na GPA zetu kubwa bado guide book haijatoka wakati TCU wametoa guide book na kuaapply washaanza hivo kufanya sisi wa diploma kutokuwahi kozi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani hawa TCU wazinguaji maana jana kipindi nalog in niki add o level sitting inagoma. Leo tena wananiambia eti majina ya cheti cha private candidate na school candidate yapo tofauti wakati...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wakuu.... Hivi awamu hii ambayo NACTE wamefungua udahili ina maana ni kwa wote i mean form four na form six walioshindwa kufikia viwango vya kuchukua degree or...? Maana mimi nataka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau Mimi nimemaliza kidato cha NNE mwaka Jana nimefanya maombi chuo cha Warwick UK naomba kujua kama kuna mawakala wa hicho chuo humu ndani au kama uliwahi kusoma pale tujuzane mambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom