This is "st joseph university in tanzania"-tuache kushabikia ujinga watanzania wenzangu" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is "st joseph university in tanzania"-tuache kushabikia ujinga watanzania wenzangu"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NIMEKIMBIA CCM, Aug 9, 2012.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JAMANI WATANZANIA WENZANGU NAJUA WENYE UPEO MDOGO HUZANI HIKI CHUO KIONATESA WANAFUNZI ILA NIMEFANYA UCHUNGUZI NA KUBAINI YAFUATAYO KATIKA CHUO HIKI
  -NI CHUO NAMBA MOJA TANZANIA AMBACHO WANAFUNZI NA WAAADHILI WAKE WAKO MORE SERIOUSLY COMPARE TO OTHERS,RUSHA YA NGONO,PESA,MADESA HAYANA NAFASI PALE
  -THEY PRODUCE NOT ONLY ENGINEER BUT DISPLINATORY ENGINEER(wajinga wanasema wananyanyaswa0
  -their good in practically and theoretically tena kwenye it ndo huwapati kabisa
  HII NDIO JINSI WANAVOBANA WANAFUNZI WAO
  -ASSIGMENT 80 YTO EACH STUDENT AND 10 TO EACH SUBJECT
  -WANA MITIHANI 32 TO EACH SEMEASTER
  -WANA ZAIDI YA PRACTICAL 20 TO EACH RESPECTVE SUBJECT
  -WANA MTIHANI WA ORAL TOFAUTI NA VYUO VINGINE

  SASA KUNA WALE WANAOKISEMAGA HIKI CHUO NI KIBAYA NIAMBIENI UBAYA WAKE UKO WAPI HAPO,NINAVOANDIKA HII NI KWAMBA WAO BADO WAKO CHUONI INGAWA VYUO VYOTE VIMEFUNGWA DUE TO COMPETANCE SYLABUS
  WATANZANI TUJIFUNZE KWA HAWA WENZETU;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;MIAKA MITATU HIKI CHUO KITATISAHA TANZANIA NZIMA,WAKATI VYUO VYETU VINAZIDIKUPOROMOKA
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  umesahau kingine ambacho hicho chuo kinatisha, ca$$$h
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Mimi naungana na wewe...jamaa zangu wawil wako pale(wanachukua civil) mpaka today wapo chuo..to be honest weng wana kiponda ila kwa ukwel(jamaa zangu wanavyosema) kiko poa saaaana!! Ifikie sehem tuache ushabiki wa kijinga na kwenye ukwel tuseme ukwel...
   
 4. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  St John inatumia wahadhiri kutoka udom,karibu kila department..
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  mkuu angalia vizuri chuo kinachozungumziwa
   
 6. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hapo kijana ume ku-ru-pu-ka!!!!! au ndo unaamka!!! embu cheki mada vizur kabla hujaandika kitu usichokijua!!!!
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Na wewe ndio unaongoza kwa kuongea na kuandika kiingereza fasaha:rant::rant::rant:
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kama wewe mwenyewe ni zao au mwanafunzi wa pale, kwa hakika wanahitaji sana kuboresha idara yao ya communication skills!
   
 9. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  endapo ni kizuri, mm kwangu nashukuru kwani kitatoa fursa kwa watanzania wengi kusoma na kupata ujuzi wanaoutaka
   
 10. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Asee, mkuu tupo pamoja au Bado upo somewhere far east ya ya huku kwetu?

  Mbona kaandika vizuri ukilinganisha na wale wa pale.....
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Huo utafiti wako umetumia njia zipi ktk kulinganisha ubora wa elimu. Ubora wa Elimu si kukaa darasani muda mrefu.
   
 12. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ila kiukweli mi mwenyewe kuna watu nawafaham wametoka hapo wapo vzr!
  Tuache usha
  Biki wapo vzr
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Umechanganya habari st john are under anglican church na st joseph is under sisters of daughters mary immaculate
   
 14. kamwendo

  kamwendo JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 80
  Kiukweli me mwenyewe nasikia sifa nyingi mbaya kuliko sifa nzuri za hiki chuo cha St. joseph's university,sijui kwa nini...!
   
 15. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  mwandiko wa muhindi mm naujua,,,we utakuwa unawatetea wahindi wenzio!
   
 16. sumasuma

  sumasuma JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 331
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acheni siasa ongeeni. reality ST JOSEPH is the best University.Expecially in Technoloy in Tanzania.me..nipo..sokoni..I..know..it!
   
 17. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Yaani kwa hii analysis yako si rahisi kunishawishi kwamba product ya hicho chuo ni wazuri kiasi hicho kama unavyotaka jamii iamini. Siyo kweli napingana na ubora wake, lkn nikisoma andiko lako kwa makini nahisi harufu fulani ya strategic marketing kwa ajili ya chuo chenu. Si ajabu umelipwa kwa ajili ya kazi hiyo ili kuweza kuonyesha reputation ya chuo katika jamii. Ni nani aliyewadanganya kwamba ubora wa elimu unatokana na kukaa darasani muda mrefu? na nani kasema kwamba kufanya mitihani mingi inaonyesha ubora wa elimu? Katika hali ya kawaida, kuwa na mitihani, tests na assignment nyingi ndani ya muda mfupi huchangia kwa kiasi kikubwa sana wanafunzi kufikiria cheating na kukariri masomo na si kuelewa.

  Nawafahamu baadhi ya waalimu wa hicho chuo, ni kweli wanarequired qualifications, lkn shida kubwa waliyonayo ni kukosa motive ya kufanya kazi kwa ufasaha kwasababu hao wahindi malipo yao yako chini sana kulinganisha na vyuo vingine hapa Tanzania. Hivyo, baadhi yao wakipata sehemu nzuri wanaondoka, kwani ni nani mwenye uwezo anayeweza kuvumilia kuvuja jasho halafu malipo kiduchu?

  Hatahivyo, ni bora uwe na kitu kilichoshiba hasa unapotaka kufanya marketing kwenye media, kwani unaposema research ndiyo imekupa majibu hayo, mtu makini atakuona wewe ni muongo. Nasema hivyo kwasababu wewe mwenyewe ni mwanafunzi na hadi sasa bado mko chuoni, je hiyo research yako ilihusu chuo chako na vyuo gani? na kwanini unahitimisha kwamba chuo chako ni bora kuliko vingine tofauti na tafauti zinazofanywa na international agency? ni lazima uwe na strong point kwa ajili ya kujustify findings zako. Otherwise, utaonekana huelewi nini maana ya tafiti na mwisho wa siku hata zile report mnazoandika baada ya practical training mnaziita publications kama baadhi ya wabunge wetu.

  TELO.
   
 18. serio

  serio JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  aiseeee... kweli kama mambo yenyewe ndo haya(in red), hiki chuo ni nooma..
   
 19. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hahahahahah!umempatia hapo kwenye hizo red
   
 20. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,138
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Ni muda muafaka sasa kwa St Joseph kuhakikisha wanachukua vipanga wengi ili kuondoa dhana ya kwamba wanachukuwa wanafunzi ambao hawakubahatika kwenda UDSM (Coet or Coict)
   
Loading...