Je naweza kuapply kozi gani za Afya?

7ya

Member
Oct 10, 2015
43
0
Mimi nimehitimu kidato cha nne mwaka wa 2014 nikiwa na ufaulu kama ufuatao:
Chemistry:B
Biology---:B
English----:B
Mathematics: C
History----: D
Geography: C
Kiswahili--:C
Civics: D
Wanajf mkiwa washauri wa mambo ya elimu natambua kuna mnaofahamu jambo hili kiundani.
Je naweza kuapplly course gani za afya kutokana na matokeo hayo:

NB: Physics O-level sikusoma
Kwa mwenye uelewa na hilo nisaidie phone no. 0766922800/0679900996/0786129626
 
Dah aisee ilikuaje ukakacha Phy.. Pole sana sijui kama utapata
Maana course Zote za afya Ngazi ya cheti na ordinary diploma zinataka ufaulu masomo matatu Phy chemistry na biology.. Pass mark ya physics huna sijui kama watakuchagua... Jaribu vyuo vya engineering, uvuvi na mifugo achana na va health allied science.. Tuma maombi direct pia jaribu na nacte wanaweza kukuchagua
 
Mbona unaleta dharau kijana...MD inahitaji phy alafu engineering haiitaji phy???? Uko siriaz???
 
MIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA WA 2014 NIKIWA NA UFAULU KAMA UFUATAO:
CHEMISTRY:B
BIOLOGY---:B
ENGLISH----:B
MATHEMATICS: C
HISTORY----:D
GEOGRAPHY: C
KISWAHILI--:C
CIVICS: D
WANAJF MKIWA WASHAURI WA MAMBO YA ELIMU NATAMBUA KUNA MNAOFAHAMU JAMBO HILI KIUNDANI.
JE NAWEZA KUAPPLLY COURSE GANI ZA AFYA KUTOKANA NA MATOKEO HAYO:

NB: PHYSICS OLEVEL SIKUSOMA
KWA MWENYE UELEWA NA HILO NISAIDIE PHONE NO. 0766922800/0679900996/0786129626
Daaaahhh alafu utakuta ulifwata mkumbo ndo ukaacha phy ona sasa inavyo kukost!!! Nakumbuka miaka hiyo nlitaka kuacha phy nilipomwambia mwalim nataka kuacha phy akaniita ofisini akaninyuka bakora sita za makalioni afu akaniambia niende darasan mwalim wa phy anafundisha!!!

Kweli nikawa mpole nikaenda class...mpaka leo namkumbuka kwa zile fimbo maana kama sio kusoma phy leo hii nsingekua hapa nilipo...
 
sasa ni kitu gani kitanifaa na matokeo hayo wakuu?
 
MIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA WA 2014 NIKIWA NA UFAULU KAMA UFUATAO:
CHEMISTRY:B
BIOLOGY---:B
ENGLISH----:B
MATHEMATICS: C
HISTORY----:D
GEOGRAPHY: C
KISWAHILI--:C
CIVICS: D
WANAJF MKIWA WASHAURI WA MAMBO YA ELIMU NATAMBUA KUNA MNAOFAHAMU JAMBO HILI KIUNDANI.
JE NAWEZA KUAPPLLY COURSE GANI ZA AFYA KUTOKANA NA MATOKEO HAYO:

NB: PHYSICS OLEVEL SIKUSOMA
KWA MWENYE UELEWA NA HILO NISAIDIE PHONE NO. 0766922800/0679900996/0786129626
nenda kasome kozi za biashara au ualimu lakin wenzako huwa wakiona physics ngumu wanakomaa na History ili kutengeza kombi zinazoanza na H
 
Mkuu Wasikutishe! Kwa Ngazi Ya Diploma Mbona Nafasi unayo Jaribu Kuapply Nakama Unataka Uhakika Zaidi Nenda Kwenye Vyuo Directly Ukawaulize Wenyewe au Tafuta Contacts Zao uwapigie ili Wakupe Sifa Zao Wanazozihitaji, Compulsory ni BIOS & CHEMI tu.
 
Diploma in Medical laboratory, Nursing and environmental sciences unapata bila matatizo upon vizuri mkuu we apply Muhas kupitia Nacte diploma level
 
Diploma in Medical laboratory, Nursing and environmental sciences unapata bila matatizo upon vizuri mkuu we apply Muhas kupitia Nacte diploma level
asante sana mkuu but nisaidie nawasiliano yao kama unazo niweze pata wasiliana nayo
 
sasa ni kitu gani kitanifaa na matokeo hayo wakuu?
Kaombe pharmancy au community health wana consider bios sana utapata kisha badae utajiendeleza mbele kufuata kile unachotaka kukifikia Asant
 
Me nilienda muhas kufuatilia diploma level pale hakuna haja ya kwenda kitu walichosema apply online kupitia NACTE kitu chochote kinachokupa shida pindi ujazapo fomu fungua web yao www.muhas.go.tz majibu yote yapo hapo namba za simu hawatoi
 
Back
Top Bottom