Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habarini wakuu, Hivi kweli MUST (Mbeya Universty of Science and Technology] kuna access course?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau habari za Leo? Naomba kujua jinsi ya kulipia gharama za kuomba chuo kupitia CAS ya TCU
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu nimekosea kuchagua category nacte badala ya health nimechagua mambo ya agriculture nimejaribu kubadilisha inagoma what should i do to solve this?
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Jamani form za mkopo ukipeleka bodi ya mkopo nisahihi? Au nilazima kuzituma kwa EMS na Posta. Mie mkazi Wa dar nisaidien
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za leo wana jf, naomba mniambie chuo cha ardhi singida kinatambulika kwa jina lipi mtandaoni? Pia naomba mniambie link ipi itaniwezesha kuangalia majina ya wnfz waliochaguliwa kujiunga na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ukifanywa uhakiki na tume huru ikijumuisha na wataalamu say toka nje, ni vyuo vidivyozidi kumi vitasimama. 1.UDSM 2. MUHAS 3. SUA 4. MZUMBE 5. ARDHI 6. OPEN 7. KCMC 8. CUHAS 9. KAIRUKI ????? 10...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Mimi ni mwalimu sekondari ninadiploma G.P.A 3.1, advanced nilipata E flat HGL. Nimeomba ruhusa ya Halmashauri kwenda mason kwa miaka 3 nimepata, Naombeni ushauri wenu wadau...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani ushauri wana jf, Hivi kwanini cut off point za Pharmacy MUHAS ni 8 au ina mshahara mkubwa kuliko kozi zingine? Mimi nashangaa
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naombeni ushauri juu ya kozi ya Education in Management and Administration. Je kazi zinapatikana kirahisi? Na baadaye ukitaka kubadilisha itawezekana?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuhusu:Mchaka mchaka wa vyeti feki. Mimi hili nakuunga asilimia 100%.Huu mchakato uendelee na yeyote atakayebainika basi sheria ichukue mkondo wake. Ila sasa unapoenda mbali zaidi kubaini watu...
6 Reactions
35 Replies
6K Views
Wana JamiiForums, mnaonaje miradi ya CWT? Siinatosha kujiendesha bila kukata walimu? Utetezi wao ni upi kama wao ndo vinara wa makato
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam wana jukwaa. Ningependa kujua kwamba je, PGD in Scientific Computing inayotolewa UDSM na college ya CONAS inaweza kumsaidia mwanafunzi ambaye hakusoma BS. CS kusoma MS. in Computer Science...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona sahivi kuna kitu kunaitwa higher diploma.hivi hii kitu ipoje tofauti na diploma ya kawaida na inachukua muda gani kusomea kozi kwa hii higher diploma
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman nimechaguliwa Mzumbe certificate in law
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna thread nimesoma hapa JF nimebaki kucheka sana. Ilikua kuhusu ubora wa elimu Tanzania mathalani elimu ya juu. Mimi nimesoma sua degree ya Kwanza, Boston USA degree ya pili na sasa nasoma PhD...
1 Reactions
3 Replies
904 Views
Huu ni msimu wa kujidahili kupitia NACTE na TCU ili kupata nafasi ya kujiunga na vyuo. TCU wametoa guide lakini cha kushangaza kuna vyuo huwezi kupata taarifa za program wanazotoa ukiacha hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Nimesikia kwamba NACTE wamefuta mafunzo ngazi ya certificate kwa teaching lakini kuna baadhi ya vyuo vinaendesha short course kwa wenye 4 ili kujiunga na diploma ni kweli? Kama ni kweli ni...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mm ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nimepata div. IV ya 26 ninatafuta vyuo vya ualimu vya kujiunga, lakini vyuo vingi wanasema wanapokea mwisho div. III je, hakuna chuo ambacho kinatoa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hello JF Hope you are doing fine...ndugu zangu hiki chuo nakiogopa sana kwani kina mizengwe kibao,,mara kifutwe mara kirudishwe..nahitaji ushauri wenu kutokana na vyuo vingi vya serikali vya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mh Waziri wa elimu nakuomba sana uturudishie mada muhimu sana katika somo la kiingereza kidato cha tano na sita ,ambazo ni 1) Phonology 2) Syntax 3) Semantics 4) Morphology. Turudishie maana ndo...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom