TCU tuhurumieni tuliomaliza form six miaka ya nyuma

TCU tuhurumieni tuliomaliza form six miaka ya nyuma

surangumu

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
254
Reaction score
98
Mimi nimemaliza form six(6) Mwaka Jana 2015 lakini nikitaka kuaply chuo system ya TCU inanikataa naumia sanaa.
Inaandika ""prior admission found""
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
 
Umeulizia kwnn imekataa..!? ungeleta sbb..!! huenda Network ilikuwa chini, ukajaribu mara 2 ikakataa, umekuja huku kulaumu..!!
 
Imekataa mkuu.
Inaandika

""PRIOR ADMISSION FOUND""
 
maisha siyo shule dogo, maisha ni nn kipo ktk nafsi yako na kiamini na kiunganishe ktk akili yako utafanikiwa mbona wengine hatuna bachelor but tuko fresh tu
 
kuna mtu alikuwa na tatizo kama hili humu na baadae akasema amesaidiwa,kama yupo aseme alifanyaje
 
nenda tcu kapeleke barua ya kuomba uondolewe kwenye system...inaonekana ww mwaka jana ulifanya application ...kurudia kufanya application upeleke barua tcu ya kuomba uondolewe kwenye system ili ufanye application upya...

pole sana nimeguswa sana na tatizo lako omba mungu utafanikiwa sio tatizo kubwa hilo
fuata tu procedure kila kitu kitakuwa powa
 
Imekataa mkuu.
Inaandika

""PRIOR ADMISSION FOUND""
Je ina maana ulishaomba jiyo mwaka wa jana au nini maana yake? Jaribu kufuatilia kwa wahusika isije kuwa kuna mtu anasoma kwa niaba yako.
 
Kama umeandikiwa prior admission found jua kua ulikua admitted chuo hivyo omba kwanza tcu wakutoe kwenye system ndo uombe tena.
 
Back
Top Bottom