Naomba ushauri kwa matokeo haya

Rogasian shayo

New Member
Jul 17, 2016
4
0
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne.

Naombeni ushauri, nilipata division three ya 23.
Nilisoma mchepuo wa sayansi na matokeo yangu ni:-

Physics: D
Chemistry: C
Biology: C
Geography: C
History: C
English: C
Civics: D
Kiswahili: D
Math: F
Nina ndoto ya kuwa someone ila naona ndoto inazama.
 
Nimesoma mpaka mwisho nikajikuta nimurudi tena juu kuangalia kwa makini kiswahili D... roho yangu ikaridhika
 
....wenzio si tayari wako shule sasahivi, wewe bado unafikiria ukasome nn?!
 
Back
Top Bottom