Niko ATC nachukua AUTOMOTIVE ENGINEERING diploma nwaka wa 3 wa mwisho, nina uhakika wa kutusua first class GPA, ila naomba ushauri kati ya Mechanical na Automotive ni kozi gani yenye uwanja mpana...
Salaam,
Kwanza niwashukuru kwa kufungua udahili maana mlituweka roho juu wana wa wenzenu.
Napenda kutoa taarifa ya kuwepo mapungufu kadhaa katika cas/noas kwa waombaji wenye stashahada.
1...
Habari wana jukwaa
Naomba mtu yeyote mwenye soft copy ya vitabu hivi:
Project Management by K. Nagarajan
Financial Management by Prasanna Chandra, Prasanna, anisaidie ama hata kama unavyo kama...
Msaada wana jf nataka kuapply kozi ya diploma in clinical medicine kwenye chuo cha rubya kilichopo kagera chenye usajir ufuatao REG/HAS/0017
Kinachomilikiwa na FBO.
JE CHUO HIKI KINA UBORA...
Habari zenu wakuu.
Nlikua napenda kujua kuhusu kama mtu aliesoma accounts hua anachukua CPA je kwa mtu aliesoma business administration hua anachukua nini au ndo anabaki na degree yake au diploma...
Msaada jmn waungwana nilikua najaza form ya chuo TCU ss baada ya kulipia mpesa nikaingiza zile code zao za mpesa ss inakataa inasema ishatumika na bdo cjalogin in
Hawa TCU siwaelewi, sisi ambao hatujaenda chuo mwaka jana na tumewaandikia barua hatma yetu lini. Mbona hatuoni majina yoyote ambayo wametoa duuuu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Jaman Wakuu mimi ningependa kufahamishwa ni taasisi zipi za binafsi zinazotoa mikopo ya kielimu kwa elimu ya juu chuo kikuu ukiachana na Tasisi ya selikali ya (HELBS) Na utaratbu wao wa marejesho...
Nasikia tayari bwana jpm amelipa tsh 200000 kwa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu ni 250000
Za waratibu zimewekwa katika acc za shule inayobeba jina la jata yake na zimewekwa kwenye acc ya...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Mimi nilifanya application 28 may kupitia NACTE, ila sikukamilisha application coz kuna vyuo vilikuwa havionekani so nikaenda NACTE nikaambiwa nisubiri TCU watatupa...
daaa habari wana JF nauliza hivi ukiangalia guide book ya diploma from tcu kila chuo nacho angalia naona wanafunzi wanaoitajika kwa kila coz ni wachache je ni kwamba watu wa diploma tupo wachache...
Wakuu kwema? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ningependa kufahamishwa kwa yeyote mwenye kujua open university of tanzania ni lini wanatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga post...
Nimesoma diploma ya procurement and supplies management sasa nataka kusoma bachelor ila sitaki tena kusoma procure nataka niibadilishe mana haina soko zuri
naombeni ushauri nisome nini au kozi...
Kukaa kimya kutoongelea swala hili inamaanisha nini wadau?
Hebu mujiongeze kidogo ndugu wakuu mulioko field, mumesha ambiwa muende field muache mgumo baridi but uhakika wa hizo pesa nusu hauko...
Ushirikiano tafadhali. Kama umechaguliwa chuo cha afya weka matokeo yako yenye mwaka husika, kozi na chuo ulichochaguliwa.
Kisha kama wewe uliomba kama mtahiniwa wa kujitegema "Private candidate"...
,,,,,,Habari zenu wakuu??,,,,
Nadhani nyote ni wazima wa afya ningependa kupata ufafanuz kutoka kwenu hivi kwanini TCU capacity wameweka chache yaani si kwa diploma holder wala form six leaver...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.