Ni apply kupitia TCU au NACTE?

Ni apply kupitia TCU au NACTE?

Joined
May 25, 2016
Posts
68
Reaction score
51
Habari zenu wana JF wenzangu,

Mimi nilifanya application 28 may kupitia NACTE, ila sikukamilisha application coz kuna vyuo vilikuwa havionekani so nikaenda NACTE nikaambiwa nisubiri TCU watatupa muongozo baadae baada ya majadiliano yao kumalizika.

Sasa naona TCU wameshafungua nasioni muongoza wowote na mimi nataka nimalizie application yangu kipengele cha kuchagua chuo tu. Shida ni kwamba Cas ya TCU na Cas ya NACTE zote zinafungua profile yangu, ndo niko njia panda wapi nikamilishie application yangu.
 
cas ya nacte ndo inafungua profile yako, hio ya tcu inakudirect kwenye website ya NACTE... angalia vizuri
 
Zote Ni Sawa! Hile CAS ya Nacte ndiyo Hile hile iliyoko TCU kwasasahivi Kwani Yote Wameifanya Kuwa Ni System Moja. Kwahiyo Hata Kama Umeingia Kwenye Website Ya NACTE basi ukifungua CAS maana Yake Unafungua CAS ya TCU kwani Kilichopo Pale NACTE ni Link tu ya CAS.
Kwa Lugha Rahisi Tunasema NACTE wameshare Link ya CAS kutoka TCU.
 
Habari zenu wana JF wenzangu,

Mimi nilifanya application 28 may kupitia NACTE, ila sikukamilisha application coz kuna vyuo vilikuwa havionekani so nikaenda NACTE nikaambiwa nisubiri TCU watatupa muongozo baadae baada ya majadiliano yao kumalizika.

Sasa naona TCU wameshafungua nasioni muongoza wowote na mimi nataka nimalizie application yangu kipengele cha kuchagua chuo tu. Shida ni kwamba Cas ya TCU na Cas ya NACTE zote zinafungua profile yangu, ndo niko njia panda wapi nikamilishie application yangu.
CAS inaunganisha NACTE na TCU hivyo basi kama ni equivalent na registration ulifanya hapo awali login kwenye account yako kama kawaida utaendelea na application , www.tcu.go.tz/home>>>cas>>>Diploma,FTC,Equivalent.>>login
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom