Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari za wakati wana jf kuna ndungu zangu walifanya application nacte through CAS na application dedline ilikuwa ni tr 13 august baada ya dedline kila mmoja alipo ingia kwenye profile yake...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeingia NACTE website naona kama hawajafungu applications kwa wale ambao wameomba mara ya pili, Je hii ni kweli? Mwisho ilikuwa tarehe 13/8/2016. Mbona bado application profile iko wazi na...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Nawasalimia wana jamii forum kuna doctor yyte anayeijua hospitali ya mnazi mmoja (zanzibar) anipe information pale km mtu aweza fanya internship nina ndugu yangu anapenda zanzibar ataka enda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanafunzi wapatao 230 kati ya 300 katika ngazi ya Diploma, chuo cha utawala na fedha(ZIFA) hawana vigezo vya kuendelea na degree kwa kukosa alama ya 3.5 GPA.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni mniambie mwisho wa kuapply Cheti na diploma ni lini?????
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Samahan wana jf naomba kuuliza hiv kwa walio omba certificate or diploma in primary education awamu ya pili kuna yeyote aliye pata post ? asanten
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanini Wanafunzi wengi hasa wale wa Sekondari wanapenda sana topic ya Reproduction?? Inapofika hii topic wanafunzi huwa active sana na maswali Mengi ya kutosha, hata wale wenye kupenda kulala...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa Nimatumaini yangu kwamba nyote wazima kabisa! Kwa wanaojua ni IPI kozi bomba sana kati ya hizo tajwa hapo juu! Yenye mashiko kwa sasa na salary nono! Na opportunity za ajira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi Ni kijana wakkitanzania muhitimu wa shahada ya kwa ya Elimu katika Sera, mipango Na utawala. Nafundisha Geography Na Economics II. Pia kwa primary nafundisha Geography, Civics Na ICT. Nina...
1 Reactions
0 Replies
615 Views
Msaada wakuu utofauti wa hizi kozi,ipi iko poa,markertable na hata kujiajiri?!!! Nimemaliza diploma ya accounting nashukuru matokeo mazuri.nakaribisha mawazo na ushauri wakuu ahsanteh.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari. wadau jamii foroum!leo nina tatizo ambalo linanisumbua kwa kiasi kikubwa. Tatizo hili hasa linawahusu bodi ya mikopo kama mnavojua tuliambiwa kuwa kuapply mikopo mwisho tarehe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu?? sio wote JF tuna elimu sawa sababu najua wengine wamepitia mengi na ni wajuzi wa mambo mengi zaid au wamesoma wamefika mbali sana,sisi ni ndugu wana jamiiforums Mkuu mwenzenu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF nilikuwa nauliza kama kuna mtu ana taarifa yoyote kuhusu hii kozi ya monitoring and evaluation kwa ngazi ya postgraduate au masters, chuo kinachofundisha hapa Tanzania na entry...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Waungwana nauza code ya M-pesa ya TCU kuna mdogo wangu alikua analipia chuo sasa akakosea akalipia kama form six levers kwa hiyo kama kuna mtu atakae kua anahitaji awasiliane na Mimi kupitia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nimechanganyikiwa kati ya hz kozi Nne BACHELOR DEGREE YA 1. Animal science ya SUA 2.wildlife management SUA 3.mathematics with ICT (EDUCATION)ya SUA 4.Agromechanics and water irrigation...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ifanye ukaguzi wa kina kwenye bodi ya mikopo kwani si ajabu lile ombwe la baadhi watendaji ndani ya bodi kujigeuza wanafunzi na kujikopesha wenyewe bila marejesho limerudi tena. Hii ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajf, Mdogo wangu amechaguliwa kujiunga diploma Arusha tech college. Naomba kujuzwa vizuri kwa anayefahamu maisha ya hapo.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau naomba mnielekeze mtu akisoma faculty ya community development anaweza kujiajiri au kuajiriwa katika shughuli gani????
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Habari wanaJF, na swali kwa wauguzi? Katika kufanya kazi za uuguzi kuna vitengo / idara . Kwa mfano muuguzi huyu anafanya idara/kitengo flani. Naomba mnipe ufafanuzi kuhusu vitengo/idara.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wana jf mbona tulio apply degree via nacte account zetu hazifunguki kwenye cas
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom