Msaada wana jf nataka kuapply kozi ya diploma in clinical medicine kwenye chuo cha rubya kilichopo kagera chenye usajir ufuatao REG/HAS/0017
Kinachomilikiwa na FBO.
JE CHUO HIKI KINA UBORA KATIKA ELIMU WAITOAYO?
Naomba mnisaidie kwa hili kwa wale wanaofahamu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.