usivyovijua usiwe unakurupuka kujibu, weka mifano ya waliozuiliwa kusoma kozi nyinginezobaed hawa wana uwezo wa kuchukua coz zingine akachange from education but bed art, in zote huwezi change coz
nmependa maelezo yakoBachelor of arts with education (Baed) hii unasoma teaching subject mbili kulingana na masomo utakayopenda kuyafundish mfano (geo na hist)
Kisoko hii inafaida kwa sababu unauhakika kuaijiliwa popote either serekalini au private sector kwani unafundisha masomo mawili.
BED hii ndio ualimu pure kwani unasoma masomo mengi ya ualimu kuliko ya kufundisha. Na pia inategema umespecialise katika Nini. Mfano Bed in psychology, early childhood, au kuna ile ya BED commerce IPO UDSm....
Hasara ya hii koz ni kwamba kuna kipindi walikuwa hawaajiliw na serekali direct kutokana na wengi wao huwa hawasomi teaching subject au wanalomoja kutegemea na Bed IPI amesomea.
Kuna baadhi ya vyuo hii kozi ya BED wameifanyia modification kwamba MTU anakuwa na major teaching subject na minor Ili tuu kukidhi mahitaji ya soko.
Kozi ya BED ni mahsus kwa kufundisha vyuo vya ualimu. Ila vyuo vya ualimu ni vichache kuliko wahitimu Wa koz husika ndio màna soko lake limeshuka mnoo...vyuo vya ualimi vya private vipo ila ajira zake haziangalii sana BeD wanaajili yeyote yule BeD or Baed.
Kama unachagua coz IPI ya kusoma naweza kukushauri Baed. Ila kama umesoma HGE au EgM au ECA kama matokeo yako yanaruhusu omba BEd commerce udsm ukisoma hii utasoma teaching subject za commerce na accounts
Ni moja kati ya potential koz za ualimu kwa sasa.
You can be a teacher or other post related with accounts na commerce
Goodluck