Kwa application za degree kwa wenye Diploma

makuna202

Senior Member
Jun 28, 2013
115
20
Jaman nashindwa kuelewa lini application za wenye diploma zitaanza! Sijajua TCU wametoa taarifa gani na mwisho ni lini? Nisaidieni jamani!
 
Kwa Mujibu wa TCU mara ya kwanza walisema Tarehe 31 July..
Wakahairisha(Bila kuomba Radhi) na kusema Tar8 August..

Lakini mpaka sasa Tangazo Lao Linasomeka Hivyohivyo Tar8 August wakat imekwishapita..

Kimsingi Tunaishi Maisha Ambayo Yalipaswa kuishi Nyani..
Taasisi kubwa na inayoendeshwa na wasomi,na ambayo ni backborn ya uhai wa maendeleo ya taifa letu hawakupaswa kufanya mambo ya kitoto kama haya..

Wangekuwa wanapokea simu zao ningewauliza WANAVUTA BANGE YA WAPI.??
 
Kwa Mujibu wa upuu.zi na upumbav.u wa TCU mara ya kwanza walisema Tarehe 31 July..

Wakahairisha(Bila kuomba Radhi) na kusema Tar8 August..

Lakini mpaka sasa Tangazo Lao Linasomeka Hivyohivyo Tar8 August wakat imekwishapita..

Kimsingi Tunaishi Maisha Ambayo Yalipaswa kuishi Nyani..

Taasisi kubwa na inayoendeshwa na wasomi,na ambayo ni backborn ya uhai wa maendeleo ya taifa letu hawakupaswa kufanya mambo ya kitoto kama haya..

Wangekuwa wanapokea simu zao ningewauliza WANAVUTA BANGE YA WAPI.??

Ni kweli heri wangeweka tarehe za mbele kuliko majanga haya ya kimya
 
Kwa Kukusaidia tu Ninakukumbusha Kuwa DeadLine Ya Kupokea Maombi Ni Tarehe 31/August/2016 Lakini Tarehe Ya Kuanza Kupokea Maombi Haijulikani.
Kwahivyo Usishangae Tukaanza Kupokelewa Maombi Tarehe 30/08/2016 au Tukaambiwa Tusubiri Mwakani 2017.
 
JAMANI MNAONAJE TUKAJIKUSNYA WOTE KWA PAMOJA NA KUPAZA SAUTI ZETU KULIKO KUBAKI HUM JUKWAANI PEKEE.
 
CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you.
 
Kwa Kukusaidia tu Ninakukumbusha Kuwa DeadLine Ya Kupokea Maombi Ni Tarehe 31/August/2016 Lakini Tarehe Ya Kuanza Kupokea Maombi Haijulikani.
Kwahivyo Usishangae Tukaanza Kupokelewa Maombi Tarehe 30/08/2016 au Tukaambiwa Tusubiri Mwakani 2017.
Hahahaha iyo kiboko
 
Back
Top Bottom