Nimemaliza kidato cha nne nakupata Div3 ya 25 ila nataka kozi ya Afya kwa kuwa nina D mbili kwenye somo la Biology na Chemistry But phs sikusoma ayo masomo mengine nina Dna C chache je nitapata...
Wakuu nilikua nauliza mwaka huu hamna second selections za form five mwaka huu hamna? Mwenye taarifa please naomba maana nina mdogo wangu yupo nyumbani hadi namwonea huruma
Mimi ni mwl niliyeajiriwa mwaka jana(2015) mwezi wa tano na ni munufaika wa mkopo wa elimu ya juu.Wameanza kunikata deni lao kuanzia mwezi wa nne mwaka huu(2016),cha kushangaza zaidi mshahara wa...
Nahitaji kuunganishwa na shirika lolote ambalo linaweza kunisaidia kusoma chuo au
advance.
Kwayeyote ambaye analijua au ashawahi kusaidiwa naomba aniambie ili na mimi niweze piga hatua mbele.
Natumai ajira za walimu 2016, zitatangazwa leo, kesho, kesho kutwa au mtondogoo, kwasababu jana ndo ulikua mwisho wa kuhakiki maswala yote ya WATUMISHI HEWA, sasa hakuna kikwazo kingine!!!
Au...
Habari zenu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa diploma niliyemaliza mwaka huu na nina GPA nzuri nimemaliza katika chuo cha MIPANGO Dodoma lakini mpaka leo hakuna mwanafunzi aliyeapply chuo mpaka...
Naomba kupewa ufafanuzi kuhusu kozi hiz Mediacal Officer na Clinical Officer. kozi ipi inafuture mzuri kwa maana unaweza kuanza nayo kwa ngazi ya diploma mpanga ngazi ya juu zaid, kazi za kila...
Habari zenu wanajamvi,
Poleni na majukumu, naomba msaada wa mawazo.
Mimi niliomba kudahiliwa higher diploma ya education pia ordinary diploma za afya kupitia NACTE. Wamenipa ordinary diploma in...
Habari wanajukwaa,
Naomba upendekeze mtu mashuhuri aliyefanikiwa katika fani ya injinia wa umeme au makenika akiwa kajiajiri mwenyewe ili awe mtu wa mfano. Kijana anataka ajimotivate pale...
Nina degree ya social science lakini kutokana na ukosefu wa ajira toka nimalize chuo 2008 nataka nisome kozi yoyote ya afya yenye ada ndogo na iwe ya mwaka mmoja natumai labda nitaondokana na hili...
Habarini za mchana.
Hivi kwa hili la serikali kuwahamishia wanafunzi ktk vyuo vingine ni kweli wataendelea na hiyo Special diploma kama ya waliobaki pale UDOM au wao ndo itatakiwa wapate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.