Natafuta chuo cha Afya kozi yeyote

sanjomnyama

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
261
160
Nimemaliza kidato cha nne nakupata Div3 ya 25 ila nataka kozi ya Afya kwa kuwa nina D mbili kwenye somo la Biology na Chemistry But phs sikusoma ayo masomo mengine nina Dna C chache je nitapata chuo kipi cha Afya??msaada jaman
 
Labda uende moja kwa moja vyuoni uksulizie maana vyuo tayar vimeshadahili halaf toka mwez wa 4 wameanza kusoma
 
Physics n muhm Sana kweny coz yeyote ya afya kama vle lab, nursing,,na nyngnezo.... Labda ujarbu one yr coz ya nurs
 
Back
Top Bottom