Mseti athuman
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 203
- 150
Kwa anaejua wana jf tumsaidie huyu Dogo yuko njia panda aende wapi naomba kuwasilisha
Kwa anaejua
Kwa anaejua
Ni vizuri akasoma kitu alichokuwa na ndoto nacho, isitoshe swala la mkwanja si lab si pharm kote pesa iko , ila nashauri sana asome Medical Lab. Kwa sababu ni miaka mi3 tu , kama anahamu na mkwanja ataushika mapema ,pili ana ndoto ya kusoma Lab ,Tatu Competition ni minimal ukilinganisha na BPharm.Lab ndo ndoto yake ila anaskia pharm inaela
Tofauti ya TGS zao sio kubwa sana wakiwa kwenye level moja ya elimu, ni kama zinaendana hivi. Mfano hakuna gap kubwa sana katika mishahara kati ya MD,DDS,Pharmacist,Lab Scientist. Hata kama ipo ni ndogo sana .Tuzungumzie salary range ya lab naskia ni ndogo ukilinganisha na fani zingine za medical
Matokeo ni DDCMatokeo yake yakoje
We uliona wapi kazi ya mwenye digrii anafanya mtu amesoma siku 35 tu? Kazi ya maabara hakuna mtu anawaza tu kuifanya bila shule,hata manesi hawawezi kabisa tofauti na hii pharmacy inafanywa na kila mtu.
U mean kuna kazi zaid ya dispensing katk serikal ya tz inaonekana ww ni mfamasia au utakua mwanafunz wa famas ebu tusaidie kk[emoji120] [emoji120] [emoji120]Usipotoshe na Usiongelee Usilolijua Ni Bora tu Ukanyamaza!
Mkuu Hiyo inayoweza Kufanywa na Mtu Yoyote sio Kazi Ya Pharmasist.
Kazi Ya Pharmasist Haiwezi Kufanywa Na Mtu Yeyote isipokuwa Mfamasia.
Hata MD, MLS, Nursing Hawezi Kufanya Kazi Za Mfamasia.
Kazi Ndogo Kabisa Ya Mfamasia Ambayo Kwa Kawaida Huachiwa Waifanye Fundi Sanifu Madawa (Pharmaceutical Technician) ni Dispensing Ambayo ndiyo Unayohisi Wewe Ndiyo Kazi Kuu Ya Pekee Ya Mfamasia, Na Umejenga imani Ya Kuwa Mtu Yeyote Anaweza Kuifanya. Hilo sio Kweli Kwa Sababu MD nao ni Binaadamu Wakati Mwengine Hukosea Hususan Kwenye Mas-ala Ya Dozi, Kwa Mfano.
Kuna Siku Niliwahi Kukiona Cheti Kimeandikwa Na MD Kwa Bahati Mbaya hivi;-
TAB: COTRIMOXAZOLE 600mg tid 2/12
Sasa Hapo Kama Huna Elimu Kamili Ya Famasy Huezi Hata Siku Moja Ukajua Makosa Yapo Wapi Kwanye Hiyo Rx bali utamsukumia Mtu tu.
Kwahiyo Kazi Za Wafamasia Zinahitaji Taaluma Ya Hali Ya Juu Kabisa Na ukitaka Kujua Nenda TFDA watakupa Maelezo.
Labda Nikuulize, Je Kudhamini Pharmacy Pia Unasomea Siku 35 ikisha Ukadhamini au??
Acha kukariri mzee Pharmacist kazi yake siyo dispensing tu.U mean kuna kazi zaid ya dispensing katk serikal ya tz inaonekana ww ni mfamasia au utakua mwanafunz wa famas ebu tusaidie kk[emoji120] [emoji120] [emoji120]
U mean kuna kazi zaid ya dispensing katk serikal ya tz inaonekana ww ni mfamasia au utakua mwanafunz wa famas ebu tusaidie kk[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Acha kukariri mzee Pharmacist kazi yake siyo dispensing tu.
Vp unaeza ukaandika hapa chini kiwango cha mshahara kila kada mhHivi huu ubishani kozi za Afya utaiaha lin? N hivi kozi za Afya zote watu wanafanyakazi Kwa kusaidiana na kwa mambo yalivyo sasa diploma salary n sawa but kwa degree tofauti n kwa sababu ya miaka so wanaanza MD,Dentist wanakuja pharmacy alafu nurses na medical lab wanafuatia hakuna masomo rahisi kati Yao wanatofautiana vichache but Wote wanasoma Anatomy,na n.k
Vp unaeza ukaandika hapa chini kiwango cha mshahara kila kada mh
Ndio maana wanasema Tanzania 61% ni vilaza, pale mwanzo nilitaka kukataa lakini kwa post ya namna hii, Kweli nakubali vilaza tunaoBpharm ina pesa kwa muda tu ila bado miaka michache itadoda sana.We uliona wapi kazi ya mwenye digrii anafanya mtu amesoma siku 35 tu?Kazi ya pharmacy kila mtu anaweza kufanya na wengi wameajiriwa na kujiajiri kwa hiyo pharmacy ingawa hawana sifa na wanapiga hela sana.Kazi ya maabara hakuna mtu anawaza tu kuifanya bila shule,hata manesi hawawezi kabisa tofauti na hii pharmacy inafanywa na kila mtu.Mwambie awahi Lab hata ajira zake ni rahisi,kujiajiri ni rahisi pia
Mkuu ya kwanza ni ipiYani nitumie 4 years kufundishwa dispensing?
Hivi mnaelewa kwanini pharmacist ni mtu wa pili kwa scale kubwa ya mshahara kwenye sekta ya afya?
Clinical Pharmacology and Therapeutics
Pharmaceutics and Industrial Pharmacy
Pharmacognosy
Medicinal Chemistry and Drug development
etc etc etc
Hadi dawa za wanyama wafamasia wanahusika.Jamani jamani