Naomba msaada wa hili wa hili suali kwa mwenye kujua

Sio expert wa jiografia mkuu ila nitajitahidi kukupa mwanga wa swali.

Kwanza, naona swali limekosewa.lugha iliyotumika imefanya swali lisieleweke linataka nini.
Kwa English ya kawaida huwezi sema "explain the knowledge which (is provide) in the earth interior."
Kwenye mabano kuna tense error. Hiyo knowledge tayari ilishakuwepo ndani ya dunia(earth interior) Hivyo ilitakiwa lisomeke "explain the knowledge which is provided in the earth interior"

Majibu kama litasomeka kama nilivyorekebisha hapo juu.
Hapa utatoa maelezo yote yanayosemwa kuhusu sayari ya dunia ila kwa inner parts zake
Mfano..utazungumzia masuala ya
-inner parts of the earth mantle..crust..core
-isostatic
-tectonics
Nafikiri umepata mwanga. Experts wa jiografia wamejaa JF wataongezea.
-
 
Asante sana kwa ufafanuzi wako
 
Back
Top Bottom