Second selections za form five

Second selections za form five

brazoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
707
Reaction score
508
Wakuu nilikua nauliza mwaka huu hamna second selections za form five mwaka huu hamna? Mwenye taarifa please naomba maana nina mdogo wangu yupo nyumbani hadi namwonea huruma
 
Hakuna second selection, aombe nacte Muda upo
 
Endelea kusubuli mdogo wangu..... Yani unatakiwa ukae mtaani mpaka utamani kula ganja, kunywa pombe
 
Lakini walisema kutakua na awamu ya pili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom