Msaada nataka nisome kozi yoyote ya afya ya mwaka mmoja

Msaada nataka nisome kozi yoyote ya afya ya mwaka mmoja

NG'HOMELE

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
470
Reaction score
147
Nina degree ya social science lakini kutokana na ukosefu wa ajira toka nimalize chuo 2008 nataka nisome kozi yoyote ya afya yenye ada ndogo na iwe ya mwaka mmoja natumai labda nitaondokana na hili tatizo lakuwa jobless.

Matokeo yangu o level nilijikita na masomo ya art japo biology nina D lakini hesabu F.

Nitashukuru kwa mawazo yenu
 
Nina degree ya social science lakn kutokana na ukosefu wa ajira toka nimalize chuo 2008 nataka nisome kozi yoyote ya afya yenye ada ndogo na iwe ya mwaka mmoja natumai labda nitaondokana na hli tatizo lakuwa jobless. Matokeo yangu o level nilijikita na masomo ya art japo biology nina D lakn hesabu F. Nitashukuru kwa mawazo yenu

Afya wanahitaji uwe umefaulu masomo ya sayansi ktk mchepuo wa PCB kama huku soma chemistry na physics wewe huna sifa za kusomea kozi yeyote ile afya
 
labda kwenye swala la usafi(ufagizi,kutandka vtanda,kubeba specimen kubeleka maabara,kufata results maabara,na mengne kama hayo)utakua unavaa sare ya kijani
 
Nina degree ya social science lakini kutokana na ukosefu wa ajira toka nimalize chuo 2008 nataka nisome kozi yoyote ya afya yenye ada ndogo na iwe ya mwaka mmoja natumai labda nitaondokana na hili tatizo lakuwa jobless.

Matokeo yangu o level nilijikita na masomo ya art japo biology nina D lakini hesabu F.

Nitashukuru kwa mawazo yenu
POLE SANA, NDUGU YANGU, KWA AFYA SIJUI KAMA UTAFANIKIWA, KWANINI USIJARIBU POSTGRADUATE DIPLOMA YA UALIMU?
 
Back
Top Bottom