hey guys, jaman me naomba ufafanuzi kwa anayefaham hili,.•• inasemekana kuwa diploma in primary now ni BASIC TECHNICIAN certificate!" na inasomwa miaka 2 tuu na xio mitatu"! mweny kuelew zaid atujuze
wakuu nina C 4 D 2 E 1 na F1
pia nina chet cha nacte cha maendeleo ya jamii cha mwaka 1
jee naweza kusomea ualimu kwa level ipi???
nilisoma masomo ya biashara na arts shule ya sekondar
Asilimia 90% ya uendeshaji wa vyuo vikuu nchini unategemea ada za mwanafunzi. Asilimia 98 ya wanafunzi wa walioko vyuo vikuu nchini wanategemea mikopo kutoka board ya mikopo lakini mpaka sasa...
Walimu wa shule ya sekondari Nyakabungo katika wilaya Nyamagana jijini Mwanza, wanatuhumiwa kufanya mapenzi na wanafunzi hali iliyowafanya baadhi ya wazazi kuiomba serikali kuwachukulia hatua...
Katika kuhakikisha hadhi ya ualimu na waalimu inakua nchini, Chama cha Walimu kinapaswa kurejea madhumuni yake mfano
(a) Kuendeleza na kulinda hadhi ya kazi ya ualimu pamoja na kusimamia viwango...
Sasa kama wewe umekubaliana na uamuzi wa mwanao kusoma sayansi kwa kulazimishwa basi pole, ila acha mimi nitafute pesa kufa na kupona kumpeleka mwanangu nje ya nchi kusoma anachokitaka, akapate...
Jamani naomba kufahamu kuhusu mikopo ya elimu ya juu kwa wale waliotoka makazini ipo kweli mana kuna blogger mmoja hivi ka post kudai mwaka uu au wale continues wanaweza wakasitishiwa mikopo...
Habari wanaJF, nimetengeneza video ambayo itakusaidia kutumia kirahisi mfumo(system) ya chenjifasta bila kugota sehemu.
Karibuni walimu pamoja na wauguzi wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi kwa...
Ndugu zangu mm ni mhitimu wa afya wa mwaka Jana mpaka sasa ktk kozi za CA/CO hatujapata vyeti wala transcription za matokeo je ni lini wizara itatoa maana sasa hata kuomba ajira private...
Wakuu habari...
Kwa alichokisema Simbachawene janaa aisee ina maana tangu Februari wanaujua ukweli wameficha na wanakanusha. Sasa kama sababu ni walimu wa arts si waajiri wa sayansi jamani.
Hii...
Nimepata taarifa zisizo rasmi,kama mdau wa elimu Tanzania,kuwa kuna mabadiliko makubwa katika elimu ya msingi yatafanyika hivi karibuni. Mabadiliko hayo yatahusu mitaala,masomo husika na muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.