Nimepangiwa chuo ambacho kimefungiwa, nifanyeje?

albert-albert

Member
Jul 14, 2013
15
3
Habari zenu wanajamvi,
Poleni na majukumu, naomba msaada wa mawazo.
Mimi niliomba kudahiliwa higher diploma ya education pia ordinary diploma za afya kupitia NACTE. Wamenipa ordinary diploma in medical laboratory chuo cha St. Francis ambacho nasikia kimefungiwa.

Nifanyeje jamani?
 
labda mie nanyojua kimefungiwa kwa bachelor tu wenye ufaham zaid waje hapa
 
Habari zenu wanajamvi,
Poleni na majukumu, naomba msaada wa mawazo.
Mimi niliomba kudahiliwa higher diploma ya education pia ordinary diploma za afya kupitia NACTE. Wamenipa ordinary diploma in medical laboratory chuo cha St. Francis ambacho nasikia kimefungiwa.

Nifanyeje jamani?
Tafuta kingine
 
Back
Top Bottom