Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba kuuliza kwa anaefahamu, ni lini? Joining instructions za vyuo vya afya vya selikali zitatoka maana kupo kimya
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Jamani kumekuwepo na thread nyingi ambazo zinashindanisha DIT na UDSM,Kwani vyote si vyuo au
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamani First round nmekosa nmefanya second round vyuo hivo apo nilipata division 2 ya 10 nilisoma HGL JE naweza chaguliwa au kwa anayefahamu ivo vyuo anijuze je viko vip na ubora wake...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Salama wandugu, Wandugu nilikua naogopa kuapply chuo baada ya kumaliza degree ya kwanaza mwaka 2011 na kuona kama haina msaada saana katika kujichanganya kwangu uswazi. je naweza kupata chuo...
0 Reactions
9 Replies
989 Views
Wakuu. tatizo liko wapi hapa mpaka kupelekea kubadili hii gpa kwenda 3.5 baadae kushuka 3.0. ni nini tunataka kuboresha ktk elimu yetu hapa nchini!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vifuatavyo ni vyuo vikuu ambavyo vina nafasi kwa wale waliokosa awamu ya kwanza HIVI HAPA VYUO VIKUU VYENYE NAFASI KWA FORM 6 WALIOKOSA KUCHAGULIWA AWAMU YA KWANZA 2016/2017 | KINGAZITEE BLOG
1 Reactions
13 Replies
6K Views
TCU imemaliza udahili kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa awamu ya kwanza jumla ya waombaji walikuwa 55,347 waombaji wenye sifa walikuwa 47,203 katika waombaji wenye sifa waliopata nafasi ni 30,731...
2 Reactions
28 Replies
7K Views
Wanachuo waliofukuzwa UDOM wa special diploma ambao walikuwa hawana vigezo vya kusoma pale serikali iliwapangia vyuo vya walimu vya kawaida mfano Butimba TTC, Kasulu TTC, Korogwe TTC serikali...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wanajamiii wote Tukumbushane mwisho wa kufanya maombi kwa tcu cas ni kesho saa 6 usiku. Upatapo taarifa hii mjuze na mwingine. Hii inawahusu wa F6 Diploma.. Na RPl
1 Reactions
9 Replies
2K Views
TCU tupangieni vyuo ili tujipange kwa ajili yavyo. Tangu 12/09 mpaka sasa hakuna kinachoendelea, mnatufikiriaje?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi courses zilizoandikwa non priority mfano T. I. A , IFM , CBE hv hawatoi mkopo kabisa au?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana JF, naomba msaada wenu, ntapataje matokeo yangu NACTE, nilimaliza ftc mech. pale DIT...2003-2006.. Nimetafuta mtandaoni siyapati. Nataka kuendelea kusoma..
0 Reactions
5 Replies
991 Views
Habari zenu wadau.... Nimehitimu kidato cha sita, nimepata division 3. Nimeomba kozi ya sheria ngazi ya diploma ktk vyuo mbalimbali kwa mfumo tofauti. Kwanza niliomba chuo kimoja hapa mkoani...
0 Reactions
4 Replies
918 Views
Hv ni kwl st.joseph collegw of health wameshaanza kuwaatarifu kwa sms wanafunzi waliochgliwa hpo kwa coz za degrii???
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Jamani wana Jf,, hivi inawezekana kama.. diproma alisomea bussness kuna uwezekano chuo kubadilisha na kuchukua bachelor of arts with education?
0 Reactions
2 Replies
642 Views
Nimechaguliwa diploma ya clinical medicine katika chuo cha CLINICAL OFFICER BUMBURI-LUSHOTO TANGA,,, mm chuo sikifahamu je mazingira yake ufundishaji wake ntaweza pata hiyo GPA YA 3.5?? ...
1 Reactions
5 Replies
985 Views
Naomba kuuliza jmn,hivi kusomea pharmacy Kwa ngazi ya Cheti ni miaka mingapi Hadi kufikia diploma?
0 Reactions
3 Replies
967 Views
nashindwa kuelewa had sasa niki apply .list ya vyuo haiji kwenye profile . vyuo ndo vimejaa au
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Juzi niliapply vyuo kwenye profile langu . halaf Jana nika remove ili niweke vyuo ambavyo Havana ushindan. baada ya kuremove nikijaribu Ku apply upya list ya vyuo haiji mpaka sasa hiv nimekesha...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom