I write about entrepreneurs, small business owners & what drives them
We keep hearing that the way to get ahead is with an engineering or computer science degree. Studying business can also be a...
habari wadau was JF mm nilikosa first round TCU .nmerudia round ya pili nimeomba kujiunga na MUM direct na Nina amin ntachaguliwa . kwa anayekijua chuo hki vzur anielezee. mm binafsi nakipenda sana.
hii tume ya vyuo vikuu tcu, wanaruhusu mhitimu wa kidato cha sita mwaka jana kuomba kudahiliwa kwa minimum qualification entry ya C mbili tu, ambazo C ya mwaka jana ilianzia 40-49. na sasa tcu...
Nit kimenuka .....wanafunzi wanaandamana kudai hela zao za quarter 3 na 4, pia ubovu wa ratiba ya mwaka wa masomo ya chuoni.
NIT ni jipu .....waziri wa Elimu naomba utembelee hapa chuoni.
Nasikitika sana kuona serikali inawajibisha vyuo vya binafsi peke yake wakati vyuo vya serikali ndio vimejaa mapungufu, huku ni kuua elimu yetu nchini.
Mfano mwaka huu TCU imesema kwamba wale...
JAMANI KUNA NDUGU YANGU KACHAGULIWA MASASI COTC KAMA DIPLOMA IN CLINICAL OFFICER (IN SERVICE) LAKINI CHA AJABU JOINING INSTRUCTIONS HAJATUMIWA NA NAMBA YAO HAIPATIKANI NINGEOMBA MSAADA WA...
Kwa Upande wa shahada nafahamu utaratibu uliyo, ila nataka ufahamu kidogo kwa diploma.
Iwapo mtanzania akiamua kwenda kusoma diploma nje ya nchi, je diploma yake itatambulika hapa kwetu? anaweza...
Kama Ulichagua first choice b com in marketing ya udsm afu chagua second choice ya bcom in human resource hapo udsm wakakuchagua second choice je ukifika chuo unaweza kubadili kwenda bcom in...
Habari za siku wakuu. Je kwa matokeo haya kwa PCM nilipata CCC. Nilikosa 1st round sasa nimeapply second round computer science udsm, computer science IFM, Geoinformatics Ardhi na IT IFM. Wakuu...
WAKUU HABARI.
Hapa tunataka kupeana ma info. ya mwenendo mzima wa kuomba vyuo na course zenyewe make mda nao ndo huo unayoyoma maana wengine tulikua tumepotezea elimu ya juu. ahsante!
Wakuu profile zetu kwa watu wa diploma zinafunguka hadi kwenye view choosen programs lakini sielewi elewi maana niki-view program katika vyuo nilivyochagua nakuta baadhi ya program admission...
RE: REVISED DECISION ON MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS
The Tanzania Commission for Universities (TCU) through the earlier public notice issued...
Habari wanaJF, nahitaji mwalimu wa arts naomba anitafute sasa hivi maana kesho saa 10:00 kamili asubuhi anahitaika awe anafundisha. Kwa mawasiliano nichek 0755429928.
Walimu waliopo dodoma tu.
Habari za sa hizi wanajamvii huu Uzi ni kwa ajairi ya applicants walio chaguliwa sua au kwa yeyote anayesoma au ata kukifahamu hiki chuo vizuri
Lengo Ni kujua changamoto za pale na jinsi gani...
habari wana JF....naomba mnisaidie majibu ya swali langu.....jee kama unasomea technicians in animal health and production kwa ngazi ya cheti....ajira zipo au ni za kusuasua.....??majibu yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.