Nenda DIT watakupatiaWana jf. naomba msaada wenu,ntapataje matokeo yangu nacte,nilimaliza ftc mech. pale DIT...2003-2006..nimetafuta mtandaoni siyapati.Nataka kuendelea kusoma..
Jaribu kuwasiliana nao mkuu. Kuna contact kwenye web Yao. Najua watakusaidia.Np nje ya nchi...