Wale wa degree application 2016

Wale wa degree application 2016

ANTHONY KWEKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
956
Reaction score
380
Wanajamiii wote
Tukumbushane mwisho wa kufanya maombi kwa tcu cas ni kesho saa 6 usiku.
Upatapo taarifa hii mjuze na mwingine.
Hii inawahusu wa F6 Diploma.. Na RPl
 
Wanajamiii wote
Tukumbushane mwisho wa kufanya maombi kwa tcu cas ni kesho saa 6 usiku.
Upatapo taarifa hii mjuze na mwingine.
Hii inawahusu wa F6 Diploma.. Na RPl
Ni kesho au leo saa 5:59 usiku huu?
 
Hii ndio shida ya watu wenye vichwa duara kujifanya wanajua ilhali wapo kwenye kundi la mambulula.....act your age
We utabaki umiza vidole vyako katika keyboard kwa kuandka matusi wengine tunaelimishana, we unafikiri kuna mtu hajui matusi!!
 
Back
Top Bottom