Ushauri wako ni muhimu

Sep 16, 2016
5
1
Habari zenu wadau....
Nimehitimu kidato cha sita, nimepata division 3. Nimeomba kozi ya sheria ngazi ya diploma ktk vyuo mbalimbali kwa mfumo tofauti. Kwanza niliomba chuo kimoja hapa mkoani iringa bila kupitia nacte yan nlienda physically nimekubaliwa na chuo kitafungua jumatatu tar 19/9/2016. Na kuna kingne nimeomba kupitia nacte cha lushoto tanga (IJA), nimechaguliwa ila bado chuo hakijathibitisha. Sasa sielewi nifanye nini, kwasabab nahofia nisipofanya usajili ktk chuo hiki cha iringa na hicho cha tanga wasipothibisha ntakuwa nimekosa kote. Kwa upande wangu napenda nisome hicho cha tanga.
Tafadhali naombeni ushauri nifanyaje hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom