TCU Vyuo mwatupangia lini?

zubery360

Senior Member
Apr 11, 2014
157
61
TCU tupangieni vyuo ili tujipange kwa ajili yavyo. Tangu 12/09 mpaka sasa hakuna kinachoendelea, mnatufikiriaje?
 
Mpaka senate za vyuo zikae kupitisha hayo majina. Senate nyingi zitakaa ndani ya wiki mbili za mwanzo za oktoba. Hivyo katikati ya mwezi ujao kila kitu kitakuwa wazi.
 
Vyuo vilivyotoa majina mfano Kampala na maruco vilikaa na Senate Gani usiharibu weekend kwa pumba zako hapa
 
Mpaka senate za vyuo zikae kupitisha hayo majina. Senate nyingi zitakaa ndani ya wiki mbili za mwanzo za oktoba. Hivyo katikati ya mwezi ujao kila kitu kitakuwa wazi.
Bangi za kuvutia chooni mbaya sana kwakweli.
 
Mpaka senate za vyuo zikae kupitisha hayo majina. Senate nyingi zitakaa ndani ya wiki mbili za mwanzo za oktoba. Hivyo katikati ya mwezi ujao kila kitu kitakuwa wazi.
Kama huna uhakika juu ya uongealo ni bora unyamaze hakuna anayekulazimisha kuchangiaaaaa. Kama huna, achaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom