Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba kufahamishwa kama kuna mtu aliyetumiwa joining instruction kwa wale waliochaguliwa second selection,kwani kwenye profile la mdogo wangu hakuna chochote kinachoendelea zaidi ya kuandikiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar za wakat huu, Mimi ni kijana ninayesoma college ngazi ya diploma nnaishi mbali kidogo na wazaz wangu na kutokana na kutokana na kuendelea na masomo huwa nahitaji msaada wa pesa ya ada na...
1 Reactions
6 Replies
815 Views
kama waliokosa sifa ni 8144 na walilipa 50000 kila mmoja, ukichuku 8144 mara 50000, nadhani waathirika kule wanasubiri msaada huo
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunaomba kujua hostel za nje zilizopo ajuco..kribu na school of medicine. Gharama zake na umbali pia.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Please nilikuwa naombeni msaada wenu, kuna ndugu yangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2015 amepata division 3 ya 25 but hakuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano, Nilikuwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF naombeni kujua kwamba KAMA umechaguliwa chuo na haukwenda utafa nyaje nwaka ijao ili kwenda kusoma chuo kwa mwaka 2017/18
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaaada jameni hii bcs.optometry ya kcmc inahusu nn?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kama tunavoelewa ya kua tarehe 15/9/2016 TCU ilitangaza kushusha viwango vya kuingia chuo kikuu kwa wanafunzi waliomaliza diploma kutoka 3.5 mpaka 3.0 ,na kupewa fursa ya kuomba vyuo ambapo mwisho...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ipi Kati ya selection za chuo na matokeo ya Necta inaleta pressure?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ivi endapo nitachaguliwa education, je naweza kubadili kwenda kozi nyingine??? Wasomi wezangu naomba jibu
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Katika kukua kwetu wengi tuliamin UD ni bonge la chuo na kinatoa watu vichwa balaaa Ila kama ndo kina Maprofesa kama yule anayehojiwa mara kwa mara na vituo vya luninga sijui anaitwa Bansen...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Tujikumbushe kidogo...Ni Scientific name gani zilikua zinakuvutia pindi zinapotajwa?au zipi zilikua zinakupa ugumu kutamka/kukariri?? Zangu...Mangifera indica(MANGO) Cannabis...
1 Reactions
102 Replies
8K Views
Habar za wakati huu wana J.F naomba kuuliza,kuna shida gani inaweza kujitokeza kutokana na kubadilisha machaguo ya vyuo (selection) Maana baadhi ya watu wanadai inaweza kupelekea kutochaguliwa na...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Habar zenu jaman..nacte wanataka nini wanaponiambia ni re upload cheti changu na transcript?? Na nimefanya hvyo zaid ya malamoja lkn natumiwa email nikiambiwa ni upload...shida ipo wapi? msaada pls
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kwenye profile yangu kwenye chaguo la kwanza kuna capacity negative two(-2) sijui ndo nn sasa mwenye kuelewa anisaidie ili nifanye maamuzi haraka.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wakuu kama kuna mtu anaufauru wa CE matokeo ya 2016 kapata chuo
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tangu jana nina mdogo wangu tunajaribu kujisajili kwa ajili ya kuomba chuo mfumo unagoma .Mwenye ufahamu kama kuna mabadiliko ya system ya TCU anifahamishe tafadhali
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi wafanyakazi wa Nacte wanafanya kazi kwa utaratibu waliojiwekea au kuna chombo kingine juu yao? Watoto / wanafunzi wanafanya application, hawapati majibu na hakuna pa kuuliza ni kwa nini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mfano mtu kapata supplimentary semester ya pili ya mwaka wa kwanza wa diploma na hakuweza kuifanya kwa muda uliopangwa kutokana na matatizo ya kiafya na kupangiwa muda wa kufanya sup kwa mwezi...
0 Reactions
4 Replies
766 Views
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeongeza muda wa udahili wa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na vyuo vikuu mwaka wa masomo 2016/2017 ili kuwapa fursa waombaji ambao wana sifa lakini hawakupata...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom