Naomba ushaurii,,,

Naomba ushaurii,,,

Binman

Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
68
Reaction score
30
Nimechaguliwa diploma ya clinical medicine katika chuo cha CLINICAL OFFICER BUMBURI-LUSHOTO TANGA,,, mm chuo sikifahamu je mazingira yake ufundishaji wake ntaweza pata hiyo GPA YA 3.5?? ,, maana mm ni form six niliyepata division 3 ya point 14 mwaka huu,,,,,,,, nataka nighairi niapply mwakani kama chuo hakiridhishi
 
Kama unapiga kitabu kwanini usipate hiyo GPA ya 3.5 we nenda tu mi nishawahi fika huko kipo sehemu nzuri labda kama umezoea maonyesho ya mitindo kwako kitakuwa si rafiki
 
Kwan hiyo gpa ya 3.5 inapatikana kwa kua chuo kizur au juhud za mwanafunz, ww kasome mwenzako wanataman hiyo nafas we unaanza kuichezea, sa iv elimu c ile ya zaman vi c vyako unaenda degree nenda kasome ww
 
Nenda kijana, Elimu ya tz ni msuli wako we jichanganye et mpala next year uone!!Itakula kwako ile mbaya!!
 
Back
Top Bottom