SECOND BATCH YA HESLB YANUKIA,MUDA WOWOTE KUANZIA SASA ITAKUWA HEWANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SECOND BATCH YA HESLB YANUKIA,MUDA WOWOTE KUANZIA SASA ITAKUWA HEWANI

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mzalendo wa TZ, Oct 4, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mzalendo wa TZ Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu poleni sana kwa majukumu ya kila siku na mawazo makali kwa wale ambao bado tulikosa mikopo kwa first batch ya bodi ya makopo.Ilihaidiwa kuwa tarehe 1/10 zingetolewa form za kukata rufaa kwa wale ambao hawakuridhika kwa kukosa mkopo au kupewa mkopo kidogo lakini haikufanyika hivyo.Sasa ukijaribu kutembelea wabsite ya HESLB na kutaka kuona majina ya waliopewa mikopo utakutana na maneno

  [h=1]Not Found
  [/h] The requested URL / was not found on this server.

  Hii ni ishara kuwa wanaweza kuwa wanaongeza majina ya watu waliopatiwa mkopo hivyo wameamua kuzuia mjina hayo kwa muda kidogo ili kufanya kazi yao kwa ufasaha.Kwa maelezo zaidi tembelea Welcome to HESLB
   
 2. M

  Mgimiloko Member

  #2
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let it be dat way.....
   
 3. rayman m

  rayman m Senior Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  But that z your hypothesis bro! Now u need to test it by checkin with da board ili u accept,reject or modify. Mimi sio mtaalam wa IT but nahic huenda page haifunguki ni matatizo ya kiufundi heslb coz wamekuwa wakisumbuliwa. Ila tujipe moyo update yako nikweli page haifunguki. Let find the truth about t!
   
 4. N

  NEEMA MWAIPUNGU Member

  #4
  Oct 4, 2012
  Joined: May 22, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani jamani miaka ya nyuma mambo yalikuwaje kwamba fedha zinakuwa zinatolewa kimtindo gani kwamba kuna batch ya kwanza ya pili ya tatu au ni vipi?
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Don't speculate until you spectate!
   
 6. Mbute na chai

  Mbute na chai JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kama unataka kukata rufaa, tembelea web ya OLAS kwani wameshaweka namna ya kukata rufaa.
   
 7. s

  sniper reloaded New Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuhusu swala la second batch ni kweli na mimi mwenyewe nimeverify hilo kwan jana nilienda bodi nikauliza,na hii imetokana na wanafunz wengi wenye faculties ambazo ni PRIORITY kukosa mkopo kutokana na matatizo yao na moja wapo wameiita "SYSTEM CODE PROBLEMS".hivo vijana mnaojiita great thinker b4 hamja criticise swala hakikisha una data za kutosha..
   
 8. B

  Babu mchumi Member

  #8
  Oct 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  ni kweli majina ya mkopo yanaweza yakatoka muda wowote ila sio kwa vigezo ulivyovisema,majina ya mkpo hayajafichwa,yapo hewani ila wameboresha tu mfumo wa kuangalia,unatakiwa uandike jina la unayetaka kumuangalia na code waliokupa ili wasikusumbue kutafuta kwenye majina mengi!!
   
 9. Eng Godfrey lupimo

  Eng Godfrey lupimo Senior Member

  #9
  Oct 15, 2016
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 151
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Special fakat kibao wngne hadi wabazma!!!
  ongezen veto tuimbe tuh
  Wimbo-wkt wa mabadiliko
  Kukupend-aa hatuach-ii
  Kuw-aa naw-ee hatuach-ii
  Lowassa ehh hatuach-ii
  kusoma number hatuach-ii,
  :p:p:p:p:p:p:p:p
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...