Georgemkali wao
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 180
- 118
Loan board wameshaachia majina kwa mujibu wa taarifa ya habari usiku huu
Yako itv kwa hiyo???Wametangaza ITV
Ndio umejuajeee?Yako itv kwa hiyo???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yako itv kwa hiyo???
Hakuna jina ht moja lililowekwa acheni kupptosha watu ht mtandao haufunguki
Umeandika nini hapa?Lazma Mauze shamba chuo bila bum na Ada n hellllllll.tufta mtu akpe akiliwa ya kuingia bla bum cz upo pbya ucpojpng
Sema weweUmeandika nini hapa?