Naomba kuuliza kwa wenyeji wa SUA, ili mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa shahada aruhusiwe kufanya registration ni lazima alipe sh. ngapi? Nauliza hivyo kwa sababu pesa ya kulipa tuition fees sina...
jamanii naombeni ufafanuzi na tofauti kati ya Technician certificate na basic technician certificate
na Kama ukimaliza miaka 2
ya technician certificate unaongeza tena 3 ya diploma au hapo inakuwaje
Wadau hii imekaaaje mpaka vyuo vya serikali vinafunguliwa hawaja release majina ya wanafuzi waliopata mikopo? Maanake hii haijawahi kutokea au ndo kusema hawana hela nini? Daah bodi ya mikopo...
habari . naomben ushauri wenu ,round ya kwanza niliomba TCU UDSM, DUCE,MUCE, UDOM Nikakosa , round ya pili cjaomba tcu nilienda MUM kuomba chuo direct mum wakanichagua , jana tcu wameonesha vyuo...
Nakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"
Wazazi wangu ni maskini lakini...
Je umechaguliwa Udom? Ama umeapply na bado unasubiri majibu? Wanafamilia wenzako tunapenda kukukaribisha uwe mmoja wetu.. Utaweza kupata taarifa na habari kuhusu mambo yote kuhusu chuo, na...
Salaam wana forum..Kuna ndugu yetu alipata div 3 kidato cha sita hivo kukosa sifa za kuendelea na chuo hivo ikabidi atumie cheti cha form four ambapo alipata div 1 kuomba diploma ya engineering na...
Je kuna mazingira ambayo yanaweza kupelekea nacte wakajumlisha GPA za NTA level 5 na 6 ili waweze kupata cumulative GPA za mtu kwenda bachelor? Nasema hivi coz kuna habari alizipata ndugu yangu...
Niko na degree ya BCOM(in Accounting) na Advanced diploma in taxation. Now nataka kusoma Masters mwakani. Je ni master ipi bora based on my past academics?
Habar wana jf kuna mtu yeyote alieapply centre of foreign relations na hajaona jina lake mpaka sasa na amewasiliana na Tcu labda kwasababu mi nimechoka kusubir
Wadau naomba msaada kuhusiana na hiyo coarse ya hapo juu, nimechaguliwa UDOM VP hiyo coarse wadau ipo Marketing, naombeni ushauri wenu wadau!!!!!!!!!!!!!!
Vijana wengi tunajiuna na vyuo vikuu kusoma engineering sababu ya nchi ya viwanda na wengi wetu tumekimbilia:
Industrial
Civil
Electrical
Agriculture and nk,
Swali: Je tupo sawa kwa 100%?? Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.