HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
620
Reaction score
282
MAJINA YA WAOMBAJI WAPYA WA MIKOPO KWA 2015/2016

Tunapenda kukufahamisha kuwa Awamu ya Kwanza ya orodha ya majina ya waombaji wapya wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 inapatikana kupitia ukurasa wa maombi kwa njia ya mtandao olas.heslb.go.tz

Kwa msingi huo, tunakanusha taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu haitatoa mikopo kwa wanafunzi wanaojiunga na wanaoendelea na masomo katika vyuo vya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2015/2016.

Mwisho

Tazama kupitia HAPA
 
haifunguki.... vipi kuna updates gani au ndo washa toa allocation...!!?
 
Ni kwel majina yanetolewa bt hayafunguki guyz so just shusheni presha na mungu awatangulie
 
Server zko bze zkitulia utaweza kuona kupitia profile yako..
 
bora wametoa km umekosa ujue cha kufanya sio kukaa roho juu juu!!!
 
Back
Top Bottom