Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 569
Hii kitu nataka kuisoma pale SUA,naomba mwenye kuijua zaidi na soko lake la ajira hapa Tanzania likoje
Kozi karibu zote za sua ni dili
Hii kitu nataka kuisoma pale SUA,naomba mwenye kuijua zaidi na soko lake la ajira hapa Tanzania likoje
Ok naweza kujiajili tatzo mtajiMimi sijasoma hiyo taaluma ya ufugaji samaki lakini nafuga samaki kwa kuelekezwa na vijana waliosoma certificate ya acqureculture pale Mbegani, Bagamoyo. Nina mabwawa yangu kadhaa hapa kijijini na naweza kuwwajiri hata wasomi wa PhD kwa mapato yatokanayo na mradi huu. Sasa kama wewe utakuwa na utaalamu katika kiwango hicho si unaweza kufanya wonders?
Tatizo lenu mkienda shule hamsomi hivyo mnaweza hata kuhitimu lakini hamjui kitu ila kama kweli ukikaa ukasoma vizuri basi naamini utasoma kozi hii na utafanya vizuri sana kama mjasiriamali na wala hutahitaji kuajiriwa
Maji sio tatzo ndugu tanzania tuna water resources kila mahali huna nia thabiti ya kujiri kabisaOk naweza kujiajili tatzo mtaji
Cjasema maji nimesema mtaji mkuu[emoji23] [emoji23]Maji sio tatzo ndugu tanzania tuna water resources kila mahali huna nia thabiti ya kujiri kabisa
Cjasema maji nimesema mtaji mkuu[emoji23] [emoji23]
Cjasema maji nimesema mtaji mkuu[emoji23] [emoji23]
Cjasema maji nimesema mtaji mkuu[emoji23] [emoji23]
Tatizo ukiambiwa kujiajiri unawaza kuanza na mradi mkubwa sana. Unaweza kusevu sh. 250000/= kila mwaka toka kwenye boom kwa miaka 3, na ukapata mahali pa kuanzia! Mimi kuna dogo anaenda kusoma kozi hii pia. Nimemwandalia 5m kama mtaji wa kuanzia japo nitampa 1m kwanza nione kama yuko serious!Cjasema maji nimesema mtaji mkuu[emoji23] [emoji23]