Je wanataka kumtapeli mdogo wangu au hatukuwaelewa?

Je wanataka kumtapeli mdogo wangu au hatukuwaelewa?

ndue

Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
17
Reaction score
9
Jamani kuna mdogo wangu amechaguliwa mati- mtwara ORDINARY DIPLOMA IN GENERAL AGRICULTURE,(upgrading) sponsored by goverment na joining instruction ilieleza hvyo sasa ameenda na nimelipa pesa karibu yote,sasa ananipigia cm wanamwambia kuwa eti kachaguliwa private wakati hata join haikueleza hvyo,,

Nisaidieni kimawazo jaman nianzie wapi mm hiyo pesa yao mil1.9 ya private cna nlikuwa na uwezo wa kumsomesha kwa hisani ya goverment,nawaza au ni utapeli flani upo chuon?msaada jaman
 
Tapeli wa kwanza ni HELS..

Usiwe unashangaa utapeli katika nchi kama .....



Ilitakiwa watu waambiwe mapema kwamba kwa speed ya sasa Usukani na Breki HAVIHITAJIKI!!



Endelea kuzisoma namba zinazounda milioni 1.9!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom