thnx in advance mine
asante ila kwangu hayafunguki naomba uniangalizie huyu hapa hafidh said anatoka iringa jk nyerere kwenda benjamini
oya tuwekeeni na sisi ayo majina mana na mm niliomba au jitajie wap niangalie
oya tuwekeeni na sisi ayo majina mana na mm niliomba au jitajie wap niangalie
na wasichana hayo hapo
Jina MBOLIGA JAMES aliomba kupelekwa Nsumba boys kutoka Pamoja Sec Ruvuma naomba msaada niangalizie
wangu niangalizie huyu hapa AMANA OTHMAN KILAWI
Wakubwa Naomba Mnipatie Chanzo Nami Niangalie Maana Nami Ni Miongon Mwa Wanaosubiri.