Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho: Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho - millardayo.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tembelea website ya tcu kipengele cha provisional result weka index no yako zen taarifa zako zitakuja
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetakiwa kuhakikisha programu za masomo zinazoanzishwa na vyuo vikuu nchini zinazingatia mahitaji ya taifa na soko la ajira. Rai hiyo imetolewa leo Jijini Dar es...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Nisaidieni jinsi ya kupata kitabu cha siri ya maisha kitabu emmanuel mbogo download sorry kwa usumbufu
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ivi kuna round nyingine kwa wale ambao hatujapata mkopo round ya kwanza nauliza tu ndugu zangu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa anayefaham vituo ambavyo mtu anaweza kurudia mitihani ya form four kwa temeke na ilala anisaidie please!!
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nataka kubadili course ila chuoni wananiambia nisubiri kama NACTE watatoa transfer kwa anayejua kua wanaweza kutoa kwa lini anisaidie[emoji59] [emoji59]
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa wale walioomba transfer vyuo vingine mfuatilie wengine wameshajibiwa kama upo mikoani ni vizur kuwapigia cm chuo unachotaka kuhamia ili wakupe jibu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hivi karibuni nimekuwa na shauku ya kusoma kozi ya Education in mathematics. Katika kutafuta chuo, nimekuta hii kozi imeongezewa Informatics ndani yake. Mimi nina Diploma in Electronics and...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau wa hiki chuo First year tujuane humu Ama veepe
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada ni kozi gani itanifaa kusoma chuo nimemaliza form 6 HGL kati ya POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION UDSM, LAW UDSM , HUMAN RESOURCES MANAGEMENT TIA, AU REGIONAL OR...
0 Reactions
44 Replies
10K Views
Wakuu kipi bora kati ya elimu bure kutoka darasa la kwanza mpaka kidato cha nne au mkopo kwa wanafunzi wote wa ngazi ya chuo kikuu bila kujali kozi husika ?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifanya application awamu ya pili na ya tatu. Awamu hizo zote nilikosa kupata chuo. Leo tar 24 limefunguliwa dirisha kwa awamu mpya ya nne ya kuchagua tena vyuo . Ila cha kushangaza...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wanajf. Nilikuwa nauliza madhara ya kuhama kozi katika chuo hicho ulichopangiwa na Mikopo inakuaje kama umepata alafu unahamia kozi nyingine je kunakuaga na shida gani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anayefahamu naomba anijuze tofauti ya hizi coz, ajira zake zikoje na unaajiriwa wapi
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Sielezei sana ila nina uhakika kwa muelewa atakuwa amekwishaelewa,hapa serikali ilibidi iwe inatuma yenyewe vifaa full kwa ajili ya mitihani na siyo kuwapa walimu waandaaji pre-instructions ambazo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako. Kwani...
5 Reactions
209 Replies
26K Views
Hivi kuna update yoyote Toka NACTE kwa wale wa certificate na diploma? maana website yao haifunguki toka jana usiku, Asanteni[emoji419]
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtu yeyote alorudia mtihani kwa 4m 6 kwa pcm au pcb anipe mrejesho kweli kuna kutoka manake kuna ndugu yangu kapata 3 ya 15 anataka kurudia mshaurini VP kuna kupenya au inakuaje????
0 Reactions
6 Replies
889 Views
Back
Top Bottom